Msaada wakuu kuhusu app ya movies na series ambayo ina subtitles moja kwa moja

Sio pc mkuu ni smart phone. Japo ata pc ninayo pia ukinipa direction pia nitafurahi
Unaenda Google

Unaandika jina la movie kama lilivyo

Eg, hiden figure bluray English subtitle download

Then undownload file

Ukifungua video player utaona kuna mahali pameandikwa subtitle utaclick hapo then utaona option ya kuadd subtitle
 
Asante mkuu
 
Download movies na series kwenye site ya piratebay.org lakini kwanza download free downloader manager app kwa ajili ya magnetic torrents utaziona hapo.
Kwa subtitles hiyo ni ishu nyingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom