Msaada wakuu kuhusu app ya movies na series ambayo ina subtitles moja kwa moja

wakuja town

JF-Expert Member
Oct 26, 2020
472
500
Habari wakuu, nililetaga humu uzi kuomba kusaidiwa namna ya kupata subtitles kwenye series na movies mpk sasa sijapata solution, je kuna app ya movies na series ya namna hyo? Kuna uzi flan mwana mmoja akapendekez app inaitwa cinehub for Android mwanzo ilikubali na ni nzr bt ghafla ikagoma, nisaidiwe tafathali, natumia simu.
 

Whackiest

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
723
1,000
Movie au series ikiwa na subtitles huwa na enjoy sana
Sas kam za kihind andika tu subtitle ukiandika play store kuna kiapp kikokule kina kuwa na subtitle zake lakin movie utakayo andika uandike za miak ya hivy karibun ukiandika nyingine za kitambo hautowez pata
 

wakuja town

JF-Expert Member
Oct 26, 2020
472
500
Sas kam za kihind andika tu subtitle ukiandika play store kuna kiapp kikokule kina kuwa na subtitle zake lakin movie utakayo andika uandike za miak ya hivy karibun ukiandika nyingine za kitambo hautowez pata
Za kihindi na mimi mbali mbali mkuu, za kizungu zaid
 

Mzimu wa Kolelo

JF-Expert Member
Apr 16, 2013
1,272
2,000
Download
SUBLOADER toka play store

Download movie toka site yoyote unakopataga moviie

Nenda kwenye App ya SUBLOADER download subtitle kwa ajili ya MOVIE yako

Then enjoy na VLC player MOVIE yako
 

Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
7,078
2,000
Bila
Samahani,mm nataka app ambayo ya ku download movie na ku save ila natumia simu,nitashukurus
samahani mkuu cha kufanya download app moja inaitwa FLUD kutoka playstore kisha nenda google search YTS TORRENTS ikifunguka fungua web ya kwanza ile kisha ukishaingia download torrent ya movie unayotaka.

Ukimaliza ku download kama umetumia opera mini itakuuliza ku open kwa kutumia flud uta open.Ama sivyo utaenda kule flud kuna sehem ya ku add torrent kisha itaanza kuingia.

Ila siku hizi unaweza google ma group ya telegram kwa ajili ya movies tu kisha una join kule,unapata movie kirahisi zaidi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom