Msaada kuhusu o2tvseries.com

Vladimir Lenin

JF-Expert Member
Jul 21, 2018
3,613
5,101
Habari wakuu hii site inasifika kwa kupata movie au series kwa mb chache,bt kuhusu quality ni mbaya sna sijajua kama mm ndie nakosea nilijaribu kupakua season ya see episode moja kwa kwa option yao ya quality ile ya kwanza kabisa juu lkn bado ilionyesha ukungu sana na maandishi kuyaona ni issue, so nisaidie namna ya kupata movie yenye quality nzr.
 
Mb chache afu utegemee upate high quality??
 
Habari wakuu hii site inasifika kwa kupata movie au series kwa mb chache,bt kuhusu quality ni mbaya sna sijajua kama mm ndie nakosea nilijaribu kupakua season ya see episode moja kwa kwa option yao ya quality ile ya kwanza kabisa juu lkn bado ilionyesha ukungu sana na maandishi kuyaona ni issue, so nisaidie namna ya kupata movie yenye quality nzr.
Shusha ile quqlity ya pili imeandikwa HD
 
Bofya kwenye hiyo
IMG_20211208_093220_017.jpg
 
Habari wakuu hii site inasifika kwa kupata movie au series kwa mb chache,bt kuhusu quality ni mbaya sna sijajua kama mm ndie nakosea nilijaribu kupakua season ya see episode moja kwa kwa option yao ya quality ile ya kwanza kabisa juu lkn bado ilionyesha ukungu sana na maandishi kuyaona ni issue, so nisaidie namna ya kupata movie yenye quality nzr.
netnaija.series ndo kiboko yao hiyo see ninayo inaquality nzuri kabisa unaweza weka kwenye flatscreen na ukainjoy kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom