Msaada wakuu kuhusu app ya movies na series ambayo ina subtitles moja kwa moja

Vipi na kwa movies za kuangalia online?
Tumia media player inaitwa MX PLAYER iko playstore ukifungua movie husika unachotakiwa ni kubonyeza pale kwenye vidoti vitatu juu mkono wa kulia kama sijasahau kisha utaona option ya ku add au ku search subtitle.Kisha uta search online kwa kuzingatia format ya movie husika na itaingia muda huo huo
 
Hii mx player au vlc sijui kwanini inakataa kwa movies za telegram, mara nyingi inaniandikia subtitles not found, ila nikidownload toka pengine labda teatv etc inakubali fresh bt kwa movies au series za telegram inakataa.
 
Hizi hzi za kawaida mkuu, series kama fauda, homeland, breaking bad, etc
Duuuh mkuu breaking bad ndio unaangalia hivi sasa, me nimemaliza kuingalia tangu mwaka 2017 nadhani, ilikuwa inafanya ni Dodge sana class maana nilikuwa na download huku naangalia hadi kunakucha, anyway ni miongoni mwa series zangu bora za muda wote
 
niliiangaliaga season one episode kadhaa sikuielewa bt now ndo naielewa elewa
 
Hahaha, inaonekana lugha ndio adui yako mkubwa, pamoja mkuu we enjoy saizi maana kuna muda utafika utakosa kabisa huo muda wa kuangalia series so utumie vizuri kwa sasa hiyo chance
 
Bila
samahani mkuu cha kufanya download app moja inaitwa FLUD kutoka playstore kisha nenda google search YTS TORRENTS ikifunguka fungua web ya kwanza ile kisha ukishaingia download torrent ya movie unayotaka.

Ukimaliza ku download kama umetumia opera mini itakuuliza ku open kwa kutumia flud uta open.Ama sivyo utaenda kule flud kuna sehem ya ku add torrent kisha itaanza kuingia.

Ila siku hizi unaweza google ma group ya telegram kwa ajili ya movies tu kisha una join kule,unapata movie kirahisi zaidi
Asante sana mkuu
 
Hahaha, inaonekana lugha ndio adui yako mkubwa, pamoja mkuu we enjoy saizi maana kuna muda utafika utakosa kabisa huo muda wa kuangalia series so utumie vizuri kwa sasa hiyo chance
Daa lugha ya malkia mda mwingine sio poa mzee, pamoja sana mkuu
 
Mkuu naomba maelekezo kdg kwenye hii, pia naona kuna baadhi ya movie subtitles za kiingereza hakuna, nimeisachi na game of throne sijaona, je kuna namna flan ya kuitumia hii site ambayo nakosea?
Hamna unaingia sehem ya ku search unai search unayoitaka ikija unaangalia format ya hiyo video au movie yako kisha unashusha.Kwa hizo za zaman kama GOT unaweza zipata zikiwa full package yan season nzima
 
Kuna movie's ukiplay kwa media za Kawaida hazina subtitles ila ukiplay kwa VLC inakuwa nayo...

Pia ukiwa na VLC for android kuna option ya kudownload subtitles ipo ko unaweza chukua anytime...

Tafuta VLV for android ipo playstore
 
Shukran mkuu
 
Ninayo mkuu sema site yangu kuu ninayo downloads movi ni telegram, mara zote vlc imekuwa ikikataa kudowload subtitles kwa movie za telegram nikisach inaleta sub not found.
 
Hamna unaingia sehem ya ku search unai search unayoitaka ikija unaangalia format ya hiyo video au movie yako kisha unashusha.Kwa hizo za zaman kama GOT unaweza zipata zikiwa full package yan season nzima
Shukran kwa kuniongezea maarifa mkuu
 
Habari wakuu, nililetaga humu uzi kuomba kusaidiwa namna ya kupata subtitles kwenye series na movies mpk sasa sijapata solution, je kuna app ya movies na series ya namna hyo? Kuna uzi flan mwana mmoja akapendekez app inaitwa cinehub for Android mwanzo ilikubali na ni nzr bt ghafla ikagoma, nisaidiwe tafathali, natumia simu.
Kama unatumia pc kuangalia movie sema nikuelekeze jinsi ya kupata subtitles
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom