Ni vipi naweza kuangalia series au movies kwa ku-attach subtitles?

wakuja town

JF-Expert Member
Oct 26, 2020
701
1,000
Wakuu huwa nadownload movies na series kupitia telegram sasa nyingi huwa hazina subtitles, nimejaribu kuangalia kupitia vlc au mx player bt naona dizaini inaleta shida, je kuna njia nyingine naweza kusolve hii shida?

Msaada kwenu.
 
Cvez

JF-Expert Member
May 19, 2018
1,630
2,000
Ukitumia VLC.... nenda Google search subtitles za movies husika download na zihifadhi. Then rudi kwenye VLC play movie kuna option ya ku add subtitle chagua subtitle husika kutoka kwenye file uliohifahi and add.
 
Diazepam

Member
Dec 3, 2020
83
150
Mkuu kwa kutumia MX player unaweza kudownload online. Kwanza, play muvi yako kupitia MX player halafu upande wa kulia wa screen kuna vidoti vitatu, ukibonyeza hapo utakutana na neno subtitle kwenye list, then unawez download online wakati muvi inaendelea kucheza.
 
wakuja town

JF-Expert Member
Oct 26, 2020
701
1,000
Ukitumia VLC.... nenda Google search subtitles za movies husika download na zihifadhi. Then rudi kwenye VLC play movie kuna option ya ku add subtitle chagua subtitle husika kutoka kwenye file uliohifahi and add.

Unaandika jina la movie na unadownload hiyo subtilte unaADD kwenye player unayotumia...
Daaa sijui ni kichwa yangu ngumu au nn bt hizi njia zote nimechemsha wakuu bt nawashukuru sana.
 
wakuja town

JF-Expert Member
Oct 26, 2020
701
1,000
Mkuu kwa kutumia MX player unaweza kudownload online. Kwanza, play muvi yako kupitia MX player halafu upande wa kulia wa screen kuna vidoti vitatu, ukibonyeza hapo utakutana na neno subtitle kwenye list, then unawez download online wakati muvi inaendelea kucheza.
Nashukuru mkuu hii nimejaribu bt subtitles haziendani na movie labda nisaidie mkuu kuwa speed ya subtitle inatakiwa iwe ngapi coz nimefowad na kurewinder mara kadhaa ili iendane na yanayoongeleka bila mafanikio.
 
Diazepam

Member
Dec 3, 2020
83
150
Nashukuru mkuu hii nimejaribu bt subtitles haziendani na movie labda nisaidie mkuu kuwa speed ya subtitle inatakiwa iwe ngapi coz nimefowad na kurewinder mara kadhaa ili iendane na yanayoongeleka bila mafanikio.
Mkuu, niliwahi kutana na tatizo kama hilo kwenye episode moja na njia niliyotumia ni kubadili tu hiyo speed ya subtitle, niliongeza speed na ikawa inaenda sawa ila episode zingine zilienda vizuri tu. Na speed inategemea na episode imepishana kiasi gani na hiyo subtitle
 
wakuja town

JF-Expert Member
Oct 26, 2020
701
1,000
Mkuu, niliwahi kutana na tatizo kama hilo kwenye episode moja na njia niliyotumia ni kubadili tu hiyo speed ya subtitle, niliongeza speed na ikawa inaenda sawa ila episode zingine zilienda vizuri tu. Na speed inategemea na episode imepishana kiasi gani na hiyo subtitle
Ok mkuu, Shukran ngoja niendelee kupambana nayo
 
bassarere

Senior Member
Dec 5, 2018
166
250
Mkuu nimejaribu sana tangu jana hamna kitu, mx ilikubali kudowload bt subtitles zake hazioani kabisa na movie.
Sijawahi kutana na hii shida toka kwa MX player sema kuna ku delay kwa subtitle inabidi eidha uongeze au upunguze speed
 
Chisembeda

Member
Aug 29, 2016
17
45
Mkuu chukua BS player,, ukiplay movie and then ukiwa online automatically itakuletea option ya subtittle
 
RReigns

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
16,338
2,000
Tumia hiyohiyo vlc. Swala kuoana hakikisha unayodownlod iendeni na wuality ya movie. Mfano kama ni 720p pia subtitle mbele iwe na neno 720p

Vlc ikisumbua search Google utazipata kwenye site ya opensubtitle.com
 
wakuja town

JF-Expert Member
Oct 26, 2020
701
1,000
Mkuu chukua BS player,, ukiplay movie and then ukiwa online automatically itakuletea option ya subtittle
Mkuu nimejaribu bt kwenye kusach subtitles on line inaniletea hvi. Hyo ni homeland series.
Screenshot_20201217-110325.jpg
 
morgan fisherman

JF-Expert Member
Dec 10, 2017
1,475
2,000
nenda kwenye vlc pale juu utaona tools bonyeza af shuka chini kabsa utaona vlsub bonyeza hapo af search by name ikija download subtittle itajiadd yenyewe forever
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom