MSAADA WAKUBWA

MSAADA WAKUBWA

iPhone 6

Senior Member
Joined
Aug 8, 2020
Posts
104
Reaction score
153
Habari zenu wakubwa zangu,
Nanyenyekea sana nikiamini JF uwa hakuna tatizo linalokosa msaada.

Wakubwa nahitaji msaada wenu ni kwamba kuna company flani kubwa tu staki kuitaja ila department niliyokua nafanyia kazi ni Huduma kwa wateja nilikua nafanya kama customer service representative kitengo cha Customer Value Management.
Shida yangu niliacha chazi kwenye hiyo company kwasababu nilifanya kazi kwa miaka kama minne na tunatumia headset kwaiyo ili kuepuka demage kwenye masikio yangu nikana niache shida nmeacha kazi na nikafanya clearance company haitaki kunipa termination letter ili nifatilie NSSF xangu nina kama 3 million,naombeni msaada jinsi gani nitapata hiyo barua hata kwa magumashi nifatilie mafao yangumaana nina madeni na sijui nalipa vipi nategmea haya mafao nilipe madeni atake nisaidia kupata barua hata ya kufukuzwa kazi hata kwa kufoji ili nipeleke NSSF nitampa laki tano cash baada ya kupata pesa naombenk msaada wana jamii manake naelekea kudata sasa hivi sina kazi nategemea kupambania hayo mafao na company hainipi msaada naimani hapa kuna watu tofauti naweza saidikika , nashukuru sana wakubwa , Mungu awabariki muwe na weekend njema.
 
Kwanini hawataki kukupa termination letter? Unawadai? Wanakupa sababu yeyote?
 
Aiseee Kuna story nilipewaga na mtu alipata tatizo km lako alighushi barua na akaenda kuchonga muhuri fake na akapata hela zake chap Ila mm sijui ata Cha kukushauri
Jamaa alifanikiwaje ndo naomba msaada qa haina hiyo kaka
 
Unaleta habari za magumashi hadharani?
Ulitakiwa ufanye calculation zote kabla ya kuacha.
 
Umeshindwa vp kudeal na hao unaonana nao kila siku.
Kwanini unaacha kazi huku huna kazi unahamia?
 
Kwenye mkataba wako si kuna vipengele vinaruhusu kufanya kama ulivyofanya sio?Kama vipo na ulivifuata kabla ya kuacha hiyo kazi nadhani barua watakupa(tofauti na hapo labda roho mbaya tu za watu)

Kama ulikuwa kwenye chama chochote cha wafanyakazi wacheki(kuna muda huwa wana msaada, japo wazuri wa kula pesa za wafanyakazi bila msaada) au pata msaada wa kisheria kwa wanasheria.
 
Huyu ndugu yetu inaonyesha kuna maelezo anaficha/hajui. Kila ajira ina mkataba na mkataba ni lazima unasema jinsi ya kuacha/kuachishwa kazi. Hakuna mkataba wa kazi unaotaka mtu kufanya kazi milele.
 
Kwa nini unataka kufoji kitu ambacho kinaweza kukuletea matatizo zaidi? Ulishindwa kufanya vituko mpaka wakuachishe kazi?
Dah ile company sijui wana roho gani ,nishafanya vituko kama kugomea kwenda kazini ila wakawa hawajali na mm niliamua niache kwasababu ya masikio nifanya kazi kwa miaka mnne so masikio yangezingua ila nakili pia nilikosea kuacha kudai barua tangu nipo kazini , kwasababu nmekuja kuifatilia nichaacha kazi ndo wananikatalia kunipa.
Kwa nini unataka kufoji kitu ambacho kinaweza kukuletea matatizo zaidi? Ulishindwa kufanya vituko mpaka wakuachishe kazi?
 
Unaleta habari za magumashi hadharani?
Ulitakiwa ufanye calculation zote kabla ya kuacha.
Hapo nakili ndo nilipo kosea sikuwaza haya mapema nmelileta hapa maana maji yamefika shingoni nikaona naweza kupata msaada kwa plan B.
 
Huyu ndugu yetu inaonyesha kuna maelezo anaficha/hajui. Kila ajira ina mkataba na mkataba ni lazima unasema jinsi ya kuacha/kuachishwa kazi. Hakuna mkataba wa kazi unaotaka mtu kufanya kazi milele.
Kwa pale utaratibu usipoenda kazini siku tano straight inabidi ufukuzwe kazi nilishafanga hivyo bado wamekakaza kunipa mpaka nmeamua kufata hapa msaada ujue nimekwama.
 
Kwenye mkataba wako si kuna vipengele vinaruhusu kufanya kama ulivyofanya sio?Kama vipo na ulivifuata kabla ya kuacha hiyo kazi nadhani barua watakupa(tofauti na hapo labda roho mbaya tu za watu)

Kama ulikuwa kwenye chama chochote cha wafanyakazi wacheki(kuna muda huwa wana msaada, japo wazuri wa kula pesa za wafanyakazi bila msaada) au pata msaada wa kisheria kwa wanasheria.
Dah sijui nisemeje na sielewi kwann wananikazia
 
Dah ile company sijui wana roho gani ,nishafanya vituko kama kugomea kwenda kazini ila wakawa hawajali na mm niliamua niache kwasababu ya masikio nifanya kazi kwa miaka mnne so masikio yangezingua ila nakili pia nilikosea kuacha kudai barua tangu nipo kazini , kwasababu nmekuja kuifatilia nichaacha kazi ndo wananikatalia kunipa.
Sasa uwe mwangalifu sana. Unaweza kufoji barua ukajaingia kwenye matatizo ya kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu, ikiwemo money laundering ambayo haina dhamana. Tumia vyombo vya sheria kudai kwani hiyo ni haki yako. Hamkuwa kwenye chama cha wafanyakazi? Ulitakiwa uache kazi kwa plan. Ungeweza kutafuta daktari akakuandikia cheti kuwa una tatizo la masikio na mambo yasingekuwa magumu. Huwezi kumwomba mwanasheria akakuandikia barua ya kuwataka wafanye hivyo? Ni lazima kuna njia ya kudai haki yako.
 
Back
Top Bottom