MSAADA WAKUBWA

MSAADA WAKUBWA

Sasa uwe mwangalifu sana. Unaweza kufoji barua ukajaingia kwenye matatizo ya kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu, ikiwemo money laundering ambayo haina dhamana. Tumia vyombo vya sheria kudai kwani hiyo ni haki yako. Hamkuwa kwenye chama cha wafanyakazi? Ulitakiwa uache kazi kwa plan. Ungeweza kutafuta daktari akakuandikia cheti kuwa una tatizo la masikio na mambo yasingekuwa magumu. Huwezi kumwomba mwanasheria akakuandikia barua ya kuwataka wafanye hivyo? Ni lazima kuna njia ya kudai haki

Sasa uwe mwangalifu sana. Unaweza kufoji barua ukajaingia kwenye matatizo ya kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu, ikiwemo money laundering ambayo haina dhamana. Tumia vyombo vya sheria kudai kwani hiyo ni haki yako. Hamkuwa kwenye chama cha wafanyakazi? Ulitakiwa uache kazi kwa plan. Ungeweza kutafuta daktari akakuandikia cheti kuwa una tatizo la masikio na mambo yasingekuwa magumu. Huwezi kumwomba mwanasheria akakuandikia barua ya kuwataka wafanye hivyo? Ni lazima kuna njia ya kudai haki yako.
Nashukuru mkuu , umenipa ushauri mzuri ngoja tu niachane nao nipambane kutafuta kazi sehemu nyingine.
 
Asilimia kubwa huwa wakichungulia mafao wakaona mzigo wa kutosha wanaanza visababu ili wafutwe kazini wavute mshiko. Nssf iliona ni kazi kichaa wakaweka sheria zinazowabana. Mkuu ukaacha kazi bila plan B kweli?
 
Mkuu tunatumia headset zinaua masikio ni bora nife masikio kisa kazi si bora niombe Mungu uku napambana kupata pengine?
 
Hawataki kunipa wanasema mm ndo nme resign ,na mm nmeri sign kwasababu ya masikio kuzuia demage hasa hawataki kunipa termination letter ndo maana nikaja hapa jukwaani.
Kama ume resign basi termination letter hupati.

No reform no election
 
Hawataki kunipa wanasema mm ndo nme resign ,na mm nmeri sign kwasababu ya masikio kuzuia demage hasa hawataki kunipa termination letter ndo maana nikaja hapa jukwaani.
Hivi unamaanisha termination letter au CERTIFICATE OF SERVICE??? Au ni kitu kimoja?
 
Uliacha kaz bila kujipanga ? Hiyo 3m na umesema una maden mbona kama hutatoboa ? Vile umeleta thread ni kama umedata, na huna chanzo kingine cha mapato ! Kama hakuna jambo umeficha, ulizingua sana kuacha kaz! Acha kaz ukijua wapi utaenda ama nini utafanya ! Khs termination letter, nenda kwa mwanasheria fuata taratibu zote, japo utalgharamika, haki yako utaipata
 
Mkuu wakati unaanza kazi haukufahamu mazingira ya kazi? Ulibakiza miezi mingapi kumaliza mkataba?
Mkuu kazi nilijua effect yake ila utafanyaje na mimi ni kijana napambana na maisha , nitachagua kazi kweli? Hii kazi nmeanza 2021 nmetoka kumalza chuo na nmeacha mwaka huu wa mwezi wa kwanza ndo nikaona napoelekea nitakua kiziwi na kazini hakuna ku grow yani hakuna future ndo nikaamua niache nirudishe mpira kwa kipa nirudi home nijipange upya hasa kwa iko kipindi NSSF yng ningepata pesa zangu ningepata pesa ya kutosha nilipe madeni , ofisi ndo wamekataa kunipa termination letter ndo nikapata wazo nije hapa ila kuna jamaa kanipa ushauri mzuri nikaona kuliko kujiingiza matatizoni hacha nendelee kumuonba Mungu atafungua milango mingine ingawa nipo kipindi kigumu sana.
 
Madeni
Uliacha kaz bila kujipanga ? Hiyo 3m na umesema una maden mbona kama hutatoboa ? Vile umeleta thread ni kama umedata, na huna chanzo kingine cha mapato ! Kama hakuna jambo umeficha, ulizingua sana kuacha kaz! Acha kaz ukijua wapi utaenda ama nini utafanya ! Khs termination letter, nenda kwa mwanasheria fuata taratibu zote, japo utalgharamika, haki yako utaipata
nadaiwa laki8 kwaiyo kwenye hiyo pesa ningeweza kulipa na kibaya zaidi ni madeni ya riba so nisipolipa itaongezeka,sina pesa ya kumlipa mwanasheria manake hapa sina hata cent ndo maana nmeona nmuachie Mungu tu .
 
Sio part time nilimaanishawamiaka mingapi? Au 'milele' kama wa serikalini?
Dada kwa nature ya pale mkataba ukiwa full time hiyo nikama milele au ushindwe wewe tu tatzo kazi hau grow na pia unaua masikio yako taratibu yani Kwa nature sio kazi ya kufanya muda mrefu, manake unaweza jikuta unakua kiziwi
 
Hivi kweli unaandika kabisa kuwa hata kama kudanganya uko radhi kufanya hayo

Hujui kama unajitafutia matatizo mengine
Kama una hulka hizi kwanini kazini hukugushi barua kuwa masikio hayasikii tena na unapata matatizo

Kuna watu wengi kama wewe mpaka wauwaji huwa wanajianika mitandaoni na kubadwa kama kumbikumbi

Umekuja kuomba msaada humu, jukumu lako ni kuomba msaada tu na sio kuweka na ushauri wa kufanya na dau unaweka kabisa

Siulizi una umri gani maana kuna wakubwa pia wanafanya makosa kama haya
 
Back
Top Bottom