MSAADA WAKUBWA

MSAADA WAKUBWA

Hivi kweli unaandika kabisa kuwa hata kama kudanganya uko radhi kufanya hayo

Hujui kama unajitafutia matatizo mengine
Kama una hulka hizi kwanini kazini hukugushi barua kuwa masikio hayasikii tena na unapata matatizo

Kuna watu wengi kama wewe mpaka wauwaji huwa wanajianika mitandaoni na kubadwa kama kumbikumbi

Umekuja kuomba msaada humu, jukumu lako ni kuomba msaada tu na sio kuweka na ushauri wa kufanya na dau unaweka kabisa

Siulizi una umri gani maana kuna wakubwa pia wanafanya makosa kama haya
Mkuu nipo wakati mgumu sana ndo maana nikaandika hivi ila nisha cancel hii mission staki tena msaada nmeamua nitafute kazi tu nitapata pengine kwa nilio wakwaza naombeni mnisamehe ni kupagawa tu kwenye haya maisha.
 
Nimekuelewa vizuri, usijali utapata kazi nyingine na maisha yataenda
Na humu kama ulivyosema kuna kila aina ya watu, hivyo basi kama nimekuwa harsh kwako nisamehe pia
 
Habari zenu wakubwa zangu,
Nanyenyekea sana nikiamini JF uwa hakuna tatizo linalokosa msaada.

Wakubwa nahitaji msaada wenu ni kwamba kuna company flani kubwa tu staki kuitaja ila department niliyokua nafanyia kazi ni Huduma kwa wateja nilikua nafanya kama customer service representative kitengo cha Customer Value Management.
Shida yangu niliacha chazi kwenye hiyo company kwasababu nilifanya kazi kwa miaka kama minne na tunatumia headset kwaiyo ili kuepuka demage kwenye masikio yangu nikana niache shida nmeacha kazi na nikafanya clearance company haitaki kunipa termination letter ili nifatilie NSSF xangu nina kama 3 million,naombeni msaada jinsi gani nitapata hiyo barua hata kwa magumashi nifatilie mafao yangumaana nina madeni na sijui nalipa vipi nategmea haya mafao nilipe madeni atake nisaidia kupata barua hata ya kufukuzwa kazi hata kwa kufoji ili nipeleke NSSF nitampa laki tano cash baada ya kupata pesa naombenk msaada wana jamii manake naelekea kudata sasa hivi sina kazi nategemea kupambania hayo mafao na company hainipi msaada naimani hapa kuna watu tofauti naweza saidikika , nashukuru sana wakubwa , Mungu awabariki muwe na weekend njema
Pole sana mkuu ishu hapo ili NSSF wakulipe ni lazma uwe na termination letter,kiapo cha hakimu au mwanasheria kwamba huna kazi na Nssf wangekulipa kwanza fao la kukosa ajira miezi 6 yaani mshahara wako 33.3%.
Mwisho kwa uzoefu wangu PSSF nilifuatilia mafao ila wao baada ya kugundua hizo ishu za kufoji barua na Mhuri kwa saa hivi PSSSF barua ya kuomba kulipwa baada ya mkataba kuisha ataipeleka Afisa utumishi wa ofisi husika na kuna sehemu yao ya kusaini.
 
Kwaiyo mkuu nikienda mahakamani nikipata hiko kiapo nikipeleka NSSF nitaweza kufatilia mafao? Bila kuwa na termination letter?? Na gharama za hiyo form ya kiapo ni shngp mkuu?
 
Kwaiyo mkuu nikienda mahakamani nikipata hiko kiapo nikipeleka NSSF nitaweza kufatilia mafao? Bila kuwa na termination letter?? Na gharama za hiyo form ya kiapo ni shngp mkuu?
Huwezi kupewa mafao hivyo ni viambatanisho vinavyotakiwa
1.Termination letter
2.kiapo cha kukosa ajira
3.Certified Copy of Nida
4.Bank statement iliyokua inapitisha mshahara.
 
Mpaka hapa nisha fail sina namna
 
Kwaiyo mkuu nikienda mahakamani nikipata hiko kiapo nikipeleka NSSF nitaweza kufatilia mafao? Bila kuwa na termination letter?? Na gharama za hiyo form ya kiapo ni shngp mkuu?
Kumbuka kuna fomu ya Nssf inatakiwa kujazwa na mhasibu au HR wa kampuni uliyokuwa unafanyakazi.
 
Back
Top Bottom