mwakyindi
JF-Expert Member
- May 7, 2018
- 1,594
- 2,153
- Thread starter
- #141
Mimi sio tegemez najilea sawa ninageto lang sawa kwanza usikute wewe ndio kwanza unaishi kwa shemej yako kama huna cha kunishauli kausha ujalazimswa sawa kutoa maon yako hapaNdicho nnachoki maanisha kuwa maamuzi yake ya kumpeleka mzazi mahakamani kisa kuomba msaada anafeli na atafeli vibaya mno!
Hiki kitu ilitakiwa akifanye kipindi anasoma shule, kuwa mimi baba anakataa kunisomesha na kuni sapoti mambo ya shule hii ingeleta maana. Kwa kifupi kakosea target