Msaada wajumbe: Nataka nimshitaki Baba yangu mzazi, sheria ipi nitumie?

mwakyindi

JF-Expert Member
May 7, 2018
689
1,000
Kwanza niombe Mimi sio mwandishi mzuri endapo nikikosea uwandishi mtanisamehe.

Baba ulikuwa na mahusiano na mama hakumuowa badae nikazaliwa mimi nikalelewa na mama nilipokuwa mkubwa nilitaka kwenda kwa baba lakini mke halali wa baba akanikataa kabisa mpaka akatishia kuniua endapo nikienda kwake.

Basi nikaendelea kukaa na mama mzazi nikiwa na na shida na baba nilikuwa nampigia simu baba au namfuata kazini kwake MUST Mbeya.

Mwaka jana mwezi wa pili baba akawa amestaafu kazi lakini kila nikimuomba chochote hata mtaji wa boda boda ili na mimi nijiajiri na aniambia hana ananipa kalenda tu.

Na kinachonifanya niumie zaidi mpaka saa hizi baba kawandikisha urithi wote watoto anaoishi nao mimi sipo kwenye urithi wake wowote aliouandika .

Nikimwambia basi mimi nipe mtaji niachane na huo urithi napo hataki. Nitumie sheria ipi wakuu nimshtaki na mimi niweze pata chochote kama hao watoto wake wengine.
 
Kibosho Mjini

JF-Expert Member
Jul 30, 2020
1,802
2,000
Pole. Achana na mpango wa kushitaki.

Mpaka umeweza kununua simu na kujisajili JF na kuleta thread, ina maanisha kuwa umekuwa mkubwa na unaweza kujitafutia kipato.

Washukuru wazazi wako, usimlaumu baba maana hujui kilitokea nini akaachana na Mama yako.

Pia huwezi kujua mchango wa mama wa kambo katika mali alizochuma na Baba yako.

Baba katumia busara sana kutokukupa urithi maana mali nyingi zimechumwa na Mama wa kambo na au mama wa kambo ana mchango mkubwa sana katika kuchuma.

Kushitaki Ni haki yako ila itakuumiza maisha yako yote maana Kwanza ni gharama za fedha na muda kufungua kesi.

Tafuta kazi, jitegemee, samehe mara sabini.
 
Msangarufu

JF-Expert Member
Sep 18, 2018
1,295
2,000
Pole. Achana na mpango wa kushitaki.

Mpaka umeweza kununua simu na kujisajili JF na kuleta thread, ina maanaisha kuwa umekuwa mkubwa na unaweza kujitafutia kipato.

unaandika kama huyo mama wa kambo ni mamdogo
 
Sandali Ali

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
3,198
2,000
Karogwa na mke wake.
Chagua mambo mawili kati ya haya chini
1. Fanya kazi kwa bidii na uiambie nafsi yako kuwa huna baba.
2. Okoka mshike Mungu sawasawa, Mungu mwaminifu atakupa akili na utaona matunda yake , utaupata urithi wako indirect
 
Bambushka

JF-Expert Member
Jan 9, 2020
2,016
2,000
Inaitwa Inferiority complex, undugu kama urafiki au mapenzi, hayalazimishwi.
Una ugonjwa wa kisaikolojia.

Unamshtaki kakunyima ULISI??

Kwa akili hii naelewa kwann mama wa kambo, alikukataa..
Ninavyoona wewe na mamako mzazi, mmekuwa mkipotoshana. Else usingewaza huu upuuzi.
Ungekomaa na maisha, wangekutafuta wao.

Pambana na hali yako.

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
mwakyindi

JF-Expert Member
May 7, 2018
689
1,000
Pole. Achana na mpango wa kushitaki.

Mpaka umeweza kununua simu na kujisajili JF na kuleta thread, ina maanaisha kuwa umekuwa mkubwa na unaweza kujitafutia kipato.

Washukuru wazazi wako, usimlaumu baba maana hujui kilitokea nini akaachana na Mama yako.

Pia huwezi kujua mchango wa mama wa kambo katika mali alizochuma na Baba yako.

Baba katumia busara sana kutokukupa urithi maana mali nyingi zimechumwa na Mama wa kambo na au mama wa kambo ana mchango mkubwa sana katika kuchuma.

Kushitaki Ni haki yako ila itakuumiza maisha yako yote maana Kwanza ni gharama za fedha na muda kufungua kesi.

Tafuta kazi, jitegemee, samehe mara sabini.
nimesamehe mkuu ndio maana niliamua kuwachia hao alio wandikisha kwenye ulisi Mali zote ila Mimi nilimuomba mtaji kidogo2 hata wa boda used maana saiz nipo2 sina kaz yoyote napo kagoma
 
mwakyindi

JF-Expert Member
May 7, 2018
689
1,000
Inaitwa Inferiority complex, undugu kama urafiki au mapenzi, hayalazimishwi.
Una ugonjwa wa kisaikolojia.

Unamshtaki kakunyima ULISI??

Kwa akili hii naelewa kwann mama wa kambo, alikukataa..
Ninavyoona wewe na mamako mzazi, mmekuwa mkipotoshana. Else usingewaza huu upuuzi.
Ungekomaa na maisha, wangekutafuta wao.

Pambana na hali yako.

Everyday is Saturday............................... :cool:
acha kukalili nani kasema Mimi ninduguyake? Mimi nimtoto ake sio ndugu yake soma vizur. Nina haki ya kulisi kama hao watoto wengine alio walisisha
 
Iselamagazi

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
4,761
2,000
Kwanza niombe Mimi sio mwandishi mzuri endapo nikikosea uwandishi mtanisamehe.

Baba ulikuwa na mahusiano na mama hakumuowa badae nikazaliwa Mimi nikalelewa na mama nilipokuwa mkubwa nilitaka kwenda kwa baba lakini mke halali wa baba akanikataa kabisa mpaka akatishia kuniuwa endapo nikienda kwake.

Basi nikaendelea kukaa namama mzazi nikiwa na nashida na baba nilikuwa nampigia simu baba au namfwata kazini kwake must Mbeya.

Mwaka jana mwezi wa pili baba akawa amestafu kazi lakini kila nikimuomba chochote hata mtaji wa boda boda ili namimi nijiajili naniambia hana ananipa kalenda tu.

Nakinacho nafanya niumie zaidi mpaka saiz baba kawandikisha ulisi wote watoto anao ishinao Mimi sipo kwenye ulisi wake wowote aliouandika .

Nikimwambia basi Mimi nipe mtaji2 niachane na uwo ulisi napo hatak.Ni2mie sheria ipi wakuu nimstak namimi niweze pata chochote kama hao watoto wake wengine.
Kwani ule uwanja wako wa miti wa Iyunga Mbeya (million 25) hujapata mteja?

Uza huo uwanja, pata mtaji, achana na huyo mzee.
 
rolla

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
2,182
2,000
Kwanza niombe Mimi sio mwandishi mzuri endapo nikikosea uwandishi mtanisamehe.

Baba ulikuwa na mahusiano na mama hakumuowa badae nikazaliwa Mimi nikalelewa na mama nilipokuwa mkubwa nilitaka kwenda kwa baba lakini mke halali wa baba akanikataa kabisa mpaka akatishia kuniuwa endapo nikienda kwake.

Basi nikaendelea kukaa namama mzazi nikiwa na nashida na baba nilikuwa nampigia simu baba au namfwata kazini kwake must Mbeya.

Mwaka jana mwezi wa pili baba akawa amestafu kazi lakini kila nikimuomba chochote hata mtaji wa boda boda ili namimi nijiajili naniambia hana ananipa kalenda tu.

Nakinacho nafanya niumie zaidi mpaka saiz baba kawandikisha ulisi wote watoto anao ishinao Mimi sipo kwenye ulisi wake wowote aliouandika .

Nikimwambia basi Mimi nipe mtaji2 niachane na uwo ulisi napo hatak.Ni2mie sheria ipi wakuu nimstak namimi niweze pata chochote kama hao watoto wake wengine.
Umejuaje wosia wa baba yako kabla hajafariki? Unajuaje kama ni baba yako? Tafuta mali zako hacha kunga'nga'a mali za watu. Hacha ubwete
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom