Msaada wajumbe: Nataka nimshitaki Baba yangu mzazi, sheria ipi nitumie?

Akili za mtoto wa mchepuko! Kabla hujaenda mbali jaribu DNA test ujiridhishe.
Wamama hawaaminiki.

Subiri kidogo na wewe utasingiziwa mimba/mtoto ndo utaujua huu mziki ukoje.

Ukipiga mahesabu haiji ila mdada anasema ni wewe!

Ukicheki sura hola!

Huu mziki kwa wababa usipime!
 
Hapo ndipo tatizo lilipo.
Inaonekana haaminiki kwa mzee wake.
Yaani hawezi hata kutoa mchanganuo wowote wa kibiashara au kimaisha kwa hiyo baba yake hawezi kushawishika kutoa pesa yake mfukoni kwa sababu anajua itapotea tu.
soma vzr Uzi wangu usikulupuke kutoa maon
 
Akili za mtoto wa mchepuko! Kabla hujaenda mbali jaribu DNA test ujiridhishe.
Wamama hawaaminiki.

Subiri kidogo na wewe utasingiziwa mimba/mtoto ndo utaujua huu mziki ukoje.

Ukipiga mahesabu haiji ila mdada anasema ni wewe!

Ukicheki sura hola!

Huu mziki kwa wababa usipime!
Ndio hivyo,jamaa anatumia nguvu nyingi kutaka kumsumbua baba yake,mama yake mzazi amekaa pembeni kimya anausoma mchezo.
 
Akili za mtoto wa mchepuko! Kabla hujaenda mbali jaribu DNA test ujiridhishe.
Wamama hawaaminiki.

Subiri kidogo na wewe utasingiziwa mimba/mtoto ndo utaujua huu mziki ukoje.

Ukipiga mahesabu haiji ila mdada anasema ni wewe!

Ukicheki sura hola!

Huu mziki kwa wababa usipime!
nimeisha singiziwa sana mimba co usinitishe mapak now ninawatoto3 njee na wote nawalea cjawai waza kuwapima DNA
 
Ni rahisi dogo kupata hasira kwa sababu ana habari za upande mmoja. Fanya utafiti wa kina kujua huyo mzee anakukubali au alikubali kuepusha shari.

Au je mamako alitaka kuvunja ndoa halali ili aingie yeye akafeli?

Kuwa mkweli. Kuna ushirikina hapo?

Usijione muhanga na kujihesabia haki tuuu.

Chunguzaaa.

Huenda Mungu anakuepusha na jambo kubwa mbeleni.
 
Kwanza niombe Mimi sio mwandishi mzuri endapo nikikosea uwandishi mtanisamehe.

Baba ulikuwa na mahusiano na mama hakumuowa badae nikazaliwa mimi nikalelewa na mama nilipokuwa mkubwa nilitaka kwenda kwa baba lakini mke halali wa baba akanikataa kabisa mpaka akatishia kuniua endapo nikienda kwake.

Basi nikaendelea kukaa na mama mzazi nikiwa na na shida na baba nilikuwa nampigia simu baba au namfuata kazini kwake MUST Mbeya.

Mwaka jana mwezi wa pili baba akawa amestaafu kazi lakini kila nikimuomba chochote hata mtaji wa boda boda ili na mimi nijiajiri na aniambia hana ananipa kalenda tu.

Na kinachonifanya niumie zaidi mpaka saa hizi baba kawandikisha urithi wote watoto anaoishi nao mimi sipo kwenye urithi wake wowote aliouandika .

Nikimwambia basi mimi nipe mtaji niachane na huo urithi napo hataki. Nitumie sheria ipi wakuu nimshtaki na mimi niweze pata chochote kama hao watoto wake wengine.
Hivi kuna sheria inayompangia mtu matumizi ya jasho lake?

Vuna vyako na wewe uamue nani umpe au usimpe.
 
Hamna sheria ya kudai urithi kwa babako aliye hai. Subiri afe ndipo udai. Umeshakuwa zaidi ya miaka 18 baba hana haki kwako ya kukutunza. Labda kama ungekuwa unasoma.

Pole sana naona watu wanakueleza ukweli unawatukana....unajifanya unajua sasa kama majibu unayo uliandika humu ili iweje jombaaa?

Pambana na hali yako kubali tu kuwa huna chochote toka kwa babako.

Kisa umeona mafao unayatamaniii...kwi kwi kwiiiiiii
 
Ni rahisi dogo kupata hasira kwa sababu ana habari za upande mmoja. Fanya utafiti wa kina kujua huyo mzee anakukubali au alikubali kuepusha shari.

Au je mamako alitaka kuvunja ndoa halali ili aingie yeye akafeli?

Kuwa mkweli. Kuna ushirikina hapo?

Usijione muhanga na kujihesabia haki tuuu.

Chunguzaaa.

Huenda Mungu anakuepusha na jambo kubwa mbeleni.
mama ang hakutaka kuvunja ndoa baba alikutana2 chuon must mama akiwa nasoma na baba akiwa mwalimu ndio wakanizaa Mimi na baba ananikubali sana shida ipo kwa mkewe cjui kampa daw maana alishawai nitishia had kuniuwa baba alipo nileta kwake
 
Inawezekana dingi hana uhakika kama wewe ni mwanae wa halali
kama hana uhakika cakanipime DNA ila hata nkiweka picha yang na ding huwez tofautisha 2navyo fanana hata hata kitaa na kazin kwake wenzie wa mshua wananita jina analog itwa mshua
 
kama hana uhakika cakanipime DNA ila hata nkiweka picha yang na ding huwez tofautisha 2navyo fanana hata hata kitaa na kazin kwake wenzie wa mshua wananita jina analog itwa mshua
Ngoja nikuchongee Deal wewe ulimfuataje akachomoa.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom