Msaada wadau: Nimekula Viagra nahisi zitaniua

Msaada wadau: Nimekula Viagra nahisi zitaniua

Shukuru Mungu hakutokea huyo bibi yako. Kwa Hall hiyo kama ungefanya sex ungeaga dunia kwa stroke. BP yako iko juu mno huwezi kuhimili sex kwa hali hiyo unavojisikia. Viagra sio mchezo na imeshaua watu wengi. Wengi hufia gesti na povu linamtoka. Usijaribu tens hiyo sio dawa kwa watu wenye misuli dhaifu ya moyo.
 
Pole sana mkuu.
1.Nenda hospital ukawaeleze ukweli
2.Usitumie viagra kama hujaruhusiwa na daktari
3.Viagra ni mahususi kwa waliopoteza nguvu za kiume na mara nyingi ni wazee kuanzia 50yrs na ni kwa ruhusa ya daktari.
4.Kama wewe ni kijana na huna nguvu za kiume ,fanya mazoezi na kula chakula kwa mpangilio
5.Onyo viagra huharibu mishipa ya damu na moyo
Kati ya wote wewe ndio umetoa msaada mkuu, jamaa asipozingatia haya basi
 
Nunua sabuni ile ya magadi ya Kigoma ile, chukua karatasi andika kwa makapeni maneno haya TEMPORARY CLOSED alaf bandika kwenye mlango wa choo then ingia humo na ndoo za maji za kutosha... Hakikisha kipande cha 500 kimeisha...

Problem solved
Shikamoo jamiiforum
 
Habari zenu wana jf, baada ya kuwa na performance ndogo kitandani hatimae nilipata ushauri kutoka kwa rafiki yangu kwamba nitumie hii kitu ili kuboost mashine iweze kufanikisha ufanyaji kazi usiokuwa na shaka yeyote, ila toka nime meza hivi vidonge mlengwa simuoni na simu yake haipatikan tena, hapa nilipo nahisi kizungu zungu macho hayana nguvu, kichwa kinauma sana demu nae hatokezi, yaani nimechanganyikiwa, msaada wenu kama kuna mtu anajua namna ya kufanya ili nirudi katika hali ya kawaida.
Kufa kama huna nguvu za kiume umekula mwenyewe ss inatuhusu nn
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] TEMPORARY CLOSED. Daah [emoji119][emoji119]
Nunua sabuni ile ya magadi ya Kigoma ile, chukua karatasi andika kwa makapeni maneno haya TEMPORARY CLOSED alaf bandika kwenye mlango wa choo then ingia humo na ndoo za maji za kutosha... Hakikisha kipande cha 500 kimeisha...

Problem solved
 
Habari zenu wana jf, baada ya kuwa na performance ndogo kitandani hatimae nilipata ushauri kutoka kwa rafiki yangu kwamba nitumie hii kitu ili kuboost mashine iweze kufanikisha ufanyaji kazi usiokuwa na shaka yeyote, ila toka nime meza hivi vidonge mlengwa simuoni na simu yake haipatikan tena, hapa nilipo nahisi kizungu zungu macho hayana nguvu, kichwa kinauma sana demu nae hatokezi, yaani nimechanganyikiwa, msaada wenu kama kuna mtu anajua namna ya kufanya ili nirudi katika hali ya kawaida.
Vitu vingine siyo vya kuiga
mtakuja fia viunoni

Siku nyingine usirudie,ndo ushauri wangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom