Msaada wadau: Nimekula Viagra nahisi zitaniua

Msaada wadau: Nimekula Viagra nahisi zitaniua

Habari zenu wana jf, baada ya kuwa na performance ndogo kitandani hatimae nilipata ushauri kutoka kwa rafiki yangu kwamba nitumie hii kitu ili kuboost mashine iweze kufanikisha ufanyaji kazi usiokuwa na shaka yeyote, ila toka nime meza hivi vidonge mlengwa simuoni na simu yake haipatikan tena, hapa nilipo nahisi kizungu zungu macho hayana nguvu, kichwa kinauma sana demu nae hatokezi, yaani nimechanganyikiwa, msaada wenu kama kuna mtu anajua namna ya kufanya ili nirudi katika hali ya kawaida.
Kaangalie movie inaitwa chanuo
 
Kunywa maji ya baridi mno. Au chukua soda yenye sukari sana a.k.a fanta orange. Tandika hizo.
Pili uache ujinga, hakikisha demu amejaa kimyan yuko geto na umeshamvua ndio uonje hivo vitu. Sio unabugia tu halaf dem mwenyewe haji unabaki kuteseka.
Habari zenu wana jf, baada ya kuwa na performance ndogo kitandani hatimae nilipata ushauri kutoka kwa rafiki yangu kwamba nitumie hii kitu ili kuboost mashine iweze kufanikisha ufanyaji kazi usiokuwa na shaka yeyote, ila toka nime meza hivi vidonge mlengwa simuoni na simu yake haipatikan tena, hapa nilipo nahisi kizungu zungu macho hayana nguvu, kichwa kinauma sana demu nae hatokezi, yaani nimechanganyikiwa, msaada wenu kama kuna mtu anajua namna ya kufanya ili nirudi katika hali ya kawaida.
 
Pole sana. Una mke?
Mbona umeniuliza swali hilo? hiyo ni link ya thread ya mleta uzi alishaweka hapa JF siku za nyuma, nimewajibu hao waliokuwa wanamshauri kuwa akapige NYETO
 
Nunua sabuni ile ya magadi ya Kigoma ile, chukua karatasi andika kwa makapeni maneno haya TEMPORARY CLOSED alaf bandika kwenye mlango wa choo then ingia humo na ndoo za maji za kutosha... Hakikisha kipande cha 500 kimeisha...

Problem solved
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Subiri baada ya masaa4 hali itarudi kawaida. Umemeza ya mg ngapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom