Hebu weka picha kwanza
Picha ya vidonge au?
Mbona unanitisha?Hapo subiri kukata moto tu, maana hakuna namna nyingine
Kama una ka manzi hebu katume fasta kaje kanitibu, samahan lakin mkuuPicha tuone unavyoteseka
Kama una ka manzi hebu katume fasta kaje kanitibu, samahan lakin mkuu
Pole sana mkuu.
1.Nenda hospital ukawaeleze ukweli
2.Usitumie viagra kama hujaruhusiwa na daktari
3.Viagra ni mahususi kwa waliopoteza nguvu za kiume na mara nyingi ni wazee kuanzia 50yrs na ni kwa ruhusa ya daktari.
4.Kama wewe ni kijana na huna nguvu za kiume ,fanya mazoezi na kula chakula kwa mpangilio
5.Onyo viagra huharibu mishipa ya damu na moyo
Alinihakikishia mkuuSasa umewezaje kumeza madawa bila kua na uhakika?
Mtakuja kufa kwa mambo ya kijinga
Big NoUtajisikiaje uki save maisha ya mtu mara moja, save ya huyo basi
Kama akili zako bado unamuamini mwanamke yeyote pole sana.Alinihakikishia mkuu
Hahaha chukua bodaboda wahi sudani fasta
Sasa nikifika hapo wakiniona dushe imetuna kabisa, si watanipiga bei kubwa mkuu? Au nikifika niwaambie nani kanidirect pale?
Nina miaka mingiUna umri gani?
Nina miaka mingi
Msaidie banaBig No