Msaada wadau: Nimekula Viagra nahisi zitaniua

Msaada wadau: Nimekula Viagra nahisi zitaniua

Kachukue bapa mbili na safari moja,changanganya AF anza kula vyombo hadi kuzima....problem solved
 
Jiunge CHAPUTA kabla mamb ayajawa mabaya[emoji41]
naijatwittersavages-20181113-0002.jpeg
 
Habari zenu wana jf, baada ya kuwa na performance ndogo kitandani hatimae nilipata ushauri kutoka kwa rafiki yangu kwamba nitumie hii kitu ili kuboost mashine iweze kufanikisha ufanyaji kazi usiokuwa na shaka yeyote, ila toka nime meza hivi vidonge mlengwa simuoni na simu yake haipatikan tena, hapa nilipo nahisi kizungu zungu macho hayana nguvu, kichwa kinauma sana demu nae hatokezi, yaani nimechanganyikiwa, msaada wenu kama kuna mtu anajua namna ya kufanya ili nirudi katika hali ya kawaida.
jitie vidole uhindini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom