Wewe mbona umeniganda jmn
sababu uko sexy and beautiful..........
Wewe mbona umeniganda jmn
Mmmh..acha kudanganya umma tengua kaulisababu uko sexy and beautiful..........
Halafu tuishie hapa.Mmmh..acha kudanganya umma tengua kauli
Kama kuanzia saa nane kasoro mpaka muda huu unatupia post basi utakuwa unaendelea vizuriNyie watanzania hebu kuweni na ustaarabu hata kidogo basi
HahahahahahahahahahaHabari zenu wana jf, baada ya kuwa na performance ndogo kitandani hatimae nilipata ushauri kutoka kwa rafiki yangu kwamba nitumie hii kitu ili kuboost mashine iweze kufanikisha ufanyaji kazi usiokuwa na shaka yeyote, ila toka nime meza hivi vidonge mlengwa simuoni na simu yake haipatikan tena, hapa nilipo nahisi kizungu zungu macho hayana nguvu, kichwa kinauma sana demu nae hatokezi, yaani nimechanganyikiwa, msaada wenu kama kuna mtu anajua namna ya kufanya ili nirudi katika hali ya kawaida.
Kama ulikua serious lete mrejesho.Habari zenu wana jf, baada ya kuwa na performance ndogo kitandani hatimae nilipata ushauri kutoka kwa rafiki yangu kwamba nitumie hii kitu ili kuboost mashine iweze kufanikisha ufanyaji kazi usiokuwa na shaka yeyote, ila toka nime meza hivi vidonge mlengwa simuoni na simu yake haipatikan tena, hapa nilipo nahisi kizungu zungu macho hayana nguvu, kichwa kinauma sana demu nae hatokezi, yaani nimechanganyikiwa, msaada wenu kama kuna mtu anajua namna ya kufanya ili nirudi katika hali ya kawaida.