Msaada wadau: Nimekula Viagra nahisi zitaniua

Msaada wadau: Nimekula Viagra nahisi zitaniua

Ww ni mwanaume af Unakosa nguv za kiume?? Me nilijua wanaokosaga nguv za kiume na wanawake tu!!!
Hakuna sehem nimeandika nimekosa nguvu, badala yake nimeandika nikunywa vidonge, uwe unasoma kiumakinikia mkuu
 
kama upo dar tafuta twenty nenda sehemu wanazojiuza hakuna namna mzee utakufa unajiona...nenda kule tandika kwene buku mbil mbil kule patakufaa mkuu
 
Hizo haziliwi, zinanywewa. Ulidhani ugali huo? Utakula ulikopeleka mboga
 
Kunywa maziwa, ukikaa sawa nifuate nikushaur utumie nn ili uwe strong kwa swala hilo
 
Habari zenu wana jf, baada ya kuwa na performance ndogo kitandani hatimae nilipata ushauri kutoka kwa rafiki yangu kwamba nitumie hii kitu ili kuboost mashine iweze kufanikisha ufanyaji kazi usiokuwa na shaka yeyote, ila toka nime meza hivi vidonge mlengwa simuoni na simu yake haipatikan tena, hapa nilipo nahisi kizungu zungu macho hayana nguvu, kichwa kinauma sana demu nae hatokezi, yaani nimechanganyikiwa, msaada wenu kama kuna mtu anajua namna ya kufanya ili nirudi katika hali ya kawaida.
Unaumri gani tuanzie hapo
Nakingine viagra inatumika kwa wanaume over 50 start 55.
45-50 ni bado anajiweza nandiomaana ukapata hayo madhara yate because sidhani hata wewe una 40.
Licha 45-50.
Hizo zinaitwa side infect za hizo dawa.
Tena wenzako wanaziongezaga kinwango na hufent na mambo mengine.
Na pia google
 
Hua nakula kila mara ila safari hii, it worked in a negative way
 
Mkuu,jitahdi unywe maziwa ila,siku nyingine usimeze kama mtotooo wa kike hajafika ghetto hakikisha ameshafika na umemgonga cha kwanza kwa nguvu zako hicho cha pili ndyo unaweza meza v'agra
Pia,nakukumbusha kuwa hayo makitu yanamadhara sana kama vile macho kuwasha uume kusimama kupita kiasi,kichwa kuuma na moyo kwenda mbio...usipendelee kutumia!
 
Hua nakula kila mara ila safari hii, it worked in a negative way
Yes mpendwa mwanzo ndio hivyo il endelevu ni mbaya.
Halafu sasa usipopata demu na umekunywa sipati pichaa 😅😅😅😅 ila pole nausinywe tena.
Ukitaka kupiga shoo ndefu uonekane mjanja google pia na mwanamke kama ndio umemkuta ndio daktari wa zamu usiondoke mwache akuhudumie.
Mbona wajawazito wapimwa na wakaka.??
 
Yes mpendwa mwanzo ndio hivyo il endelevu ni mbaya.
Halafu sasa usipopata demu na umekunywa sipati pichaa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ila pole nausinywe tena.
Ukitaka kupiga shoo ndefu uonekane mjanja google pia na mwanamke kama ndio umemkuta ndio daktari wa zamu usiondoke mwache akuhudumie.
Mbona wajawazito wapimwa na wakaka.??
How would you start to explain to her that you ate some Viagra? To me it's like decreasing my reputation I can't
 
Habari zenu wana jf, baada ya kuwa na performance ndogo kitandani hatimae nilipata ushauri kutoka kwa rafiki yangu kwamba nitumie hii kitu ili kuboost mashine iweze kufanikisha ufanyaji kazi usiokuwa na shaka yeyote, ila toka nime meza hivi vidonge mlengwa simuoni na simu yake haipatikan tena, hapa nilipo nahisi kizungu zungu macho hayana nguvu, kichwa kinauma sana demu nae hatokezi, yaani nimechanganyikiwa, msaada wenu kama kuna mtu anajua namna ya kufanya ili nirudi katika hali ya kawaida.
Kunywa maji mengi au nenda uwekewe dripu ya D 5%
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom