Nakusubiria mkuu Miss Natafuta...sijui mkuu ila kutibu kisukari ni rahisi sasa hivi nimechoka tutakupa majibu yako kesho
Ni kweli Mkuu kwa upendo tulionao wale majirani zetu waliopata SGR ya makaa ya mawe hawapendi kutuona hivi.Pole sana mkuu Mungu awezeshe hiyo tiba ikuponye. Nawashukuru wa jamiiforum wote kwa moyo wa upendo . kusema ukweli nafarika mno na mioyo yenu watanzania Mungu azidishe upendo wetu ili na mataifa mengine yatuige.
Unajua kilichomuua bob marley? Nani kakwambia bangi inaleta cancer?iyo bangi ondoa kabisa, haitibu cancer; Bob Marley alikua anakula mmea balaa lakini cancer ikamuua tena mapema sana!
Ndugu unalipuka tu na swali hujaelewa hata nilichoandika! Elewa kwanza nilichoandika ndipo uniulize swali na ninaahidi kukujibu! ila swali lako na nilichoandika ni irrelevant.Unajua kilichomuua bob marley? Nani kakwambia bangi inaleta cancer?
mtindi je vp?halafu usinywe maziwa tena kabisa ni mbolea ya cancer ! chai ya maziwa,sukari maziwa fresh au product zake achana nazo kabisa ni mbolea ya cancer hyo
Mkuu pole ndg yangu. Jipe moyo. Komaa na ushauri uliopewa hasa wa vyakula asilia. Hilo staferi nimelisikia sana habari zake kuhusu saratani hebu komaa sana. Kkoo yanapatikana ukikosa nenda soko la kisutu kama upo Dsm.
Pia mboga za majani hapo ndo ujifanye mbuzi kabisaaa. Ukiweza juice ya karoti kama huyo ndg alivyoshauri iginge nayo kwa sana.
Mwishowe nakushauri mtafute kamanda mmoja kwa ID name Deception yupo humu Jf anajua vzr sana hyo hbr ya saratani na vitu vinavyosaidia kutibu.
Shida ya mionzi ni kuwa inaua malignat cell na cell hai hapo tu ndo shida
Huyo ndugu yako alikuwa hana cancer ya damutamaa,asaiv yupo mzimaa bukheriii hana cancer wala chochote yumzimaa kama wengine.
Miss Natafuta kesho ndio ishafika tayari, tupe hiyo tiba mbadala utasaidia wengi humusijui mkuu ila kutibu kisukari ni rahisi sasa hivi nimechoka tutakupa majibu yako kesho
ngoja nipo nimella hapa bado nimechoooka mkuuMiss Natafuta kesho ndio ishafika tayari, tupe hiyo tiba mbadala utasaidia wengi humu
Ahsante sana mkuu nitazingatiaView attachment 489504View attachment 489505View attachment 489506we mkorintoboy cheki hayo makitu aisee
Miss hujaamka tu au nije nikutoe kitandani?ngoja nipo nimella hapa bado nimechoooka mkuu
nishaamka wewe ndo unaumwa?Miss hujaamka tu au nije nikutoe kitandani?
Ni ndugu yangunishaamka wewe ndo unaumwa?
Hepatitis haina tiba.pole sana mkuu
TIBA ZIPO ILA MZUNGU KAZUIA
KUNYWA JUICE YA STAFERY GLASS TATU KILA SIKU KWA SIKU 90