Msaada wa tiba mbadala ya Cancer ya Ini

Msaada wa tiba mbadala ya Cancer ya Ini

Sina tiba ila ni kukupa pole Mkuu,maradhi ni sehemu ya mtihani kwa mwanadam nna imani washauri mbalimbali humu misaada yao yaweza saidia kupata mwanga juu ya tatizo lililolipo,Nakutakia kheri.
 
Mkuu pia ngoja nikushauri kitu,kuna ndugu yangu alikua anaumwa kansa ya damu stage ya mwisho ,na kupima kiukwel ilikua nadra sn kupona tuliambiwa mda wwte ni atatutoka,akaanza kubadilisha mfumo wake wa maisha,akaanza kula sana mbogamboga tu,alaf ilikua siku nzima anakunywa juice ya carrot tu ,alikua kwa siku anakunywa ata lita tano ya juice fresh ya carrot bila kutiwa maji wala sukar,unasaga ktk zile mashine zao special,na mazoez alikua anafanya ,na ayo mastafel uliombiwa alikua ndo anakula,mkuu huwez kuamin alikuja kupona bila kutumia dawa yyt wakat mwanzo tulikua tumeshamkatia tamaa,asaiv yupo mzimaa bukheriii hana cancer wala chochote yumzimaa kama wengine.
 
stafel linatibu kuliko mionzi
 
Daah Ushuhuda mzuri nitazingatia mkuu
 
Pole sana mkuu..nitashare nawe mawili matatu na nina imani yatakusaidia sana.
 
we jaribu uone,ktk dunia hamna kukata tamaa coz hamna kinachoshindikana chini ya jua siku zote,wapo wengi walokua wanaumwa na cancer na wakapona,kansa inapona lkn inahitaji moyo na subra ubadilishe kabisaa mfumo wako wa kuishi
Nitumie juice ya carrot kwa muda gani mkuu?
 
Back
Top Bottom