HUGO CHAVES
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 2,045
- 551
go vegan mkuu tumia maji ya kawaida kunywa ,tumia vile Rastafarian wanapenda kula.mungu yuko pamoja nawe katika vita hivyo vya ugonjwa na inshaallah utashinda
Ahsante sana mkuuPole sana mkuu, wengi wameshatoa ushauri. Sina la kuongeza ila ni kukuombea Mungu Ashushe nguvu za uponyaji juu yako! Ninaamini kabisa ya kwamba utapata huduma ya tiba mbadala na utapona!
Ahsante kwa ushauri mzurigo vegan mkuu tumia maji ya kawaida kunywa ,tumia vile Rastafarian wanapenda kula.mungu yuko pamoja nawe katika vita hivyo vya ugonjwa na inshaallah utashinda
alafu watu watasema utani,mmea wa mstaferi ni kiboko ya cancer zotepole sana mkuu
TIBA ZIPO ILA MZUNGU KAZUIA
KUNYWA JUICE YA STAFERY GLASS TATU KILA SIKU KWA SIKU 90
Enx Arabian queen umetuxaidia weng kwa hloMkuu pia ngoja nikushauri kitu,kuna ndugu yangu alikua anaumwa kansa ya damu stage ya mwisho ,na kupima kiukwel ilikua nadra sn kupona tuliambiwa mda wwte ni atatutoka,akaanza kubadilisha mfumo wake wa maisha,akaanza kula sana mbogamboga tu,alaf ilikua siku nzima anakunywa juice ya carrot tu ,alikua kwa siku anakunywa ata lita tano ya juice fresh ya carrot bila kutiwa maji wala sukar,unasaga ktk zile mashine zao special,na mazoez alikua anafanya ,na ayo mastafel uliombiwa alikua ndo anakula,mkuu huwez kuamin alikuja kupona bila kutumia dawa yyt wakat mwanzo tulikua tumeshamkatia tamaa,asaiv yupo mzimaa bukheriii hana cancer wala chochote yumzimaa kama wengine.
Welcome dearEnx Arabian queen umetuxaidia weng kwa hlo
kama jamaa hajaoa anioe nikamtunze hadi apone
iyo bangi ondoa kabisa, haitibu cancer; Bob Marley alikua anakula mmea balaa lakini cancer ikamuua tena mapema sana!
SanteWelcome dear
Hii si ina sukari? Ati Mtaalan wetu Miss Natafuta ?0655562854 Wasiliana naye,utapata juisi ya TREVO ,angalia kwenye mtandao TREVO
aachane nayo hao ni wafanyabiashara tu mkuuHii si ina sukari? Ati Mtaalan wetu Miss Natafuta ?
Kunywa chai itokanayo na majani ya stafeli, asubuhi, mchana, na usiku! Punguza au achana na vitu vitamu kwani ni vichocheo vya saratani!Wakuu nawasalimu wote.Bila kuwachosha niende kwenye mada iliyonifanya kuhitaji msaada wa mawazo yenu.Ni kwamba nimegundulika nina cancer ya ini iliyosababishwa na hepatitis B na hapa nilipo ninaendelea na
dawa aina ya Sorafenib.Cancer hii imeshasambaa kwenye lymph nodes kwa yoyote anayejua tiba mbadala naomba anisaidie.
Nakaribisha pia ushauri na mawazo mbalimbali.
Nawasilisha.
Vipikula na matango sana
Hiyo inatibu wagonjwa wanaosumbuliwa na sukari?stafery linatibu zaidi ya mionzi
sijui mkuu ila kutibu kisukari ni rahisi sasa hivi nimechoka tutakupa majibu yako keshoVipi
Hiyo inatibu wagonjwa wanaosumbuliwa na sukari?