Msaada wa tiba mbadala ya Cancer ya Ini

Msaada wa tiba mbadala ya Cancer ya Ini

Jamani mboga mboga ni hatari miezi 3 iliyopita nilikuwa nakura mboga za majani kila siku na kwenye kila mulo.nilikuwa nazipika bila kuunga chochite hata chumvi siweki baada ya muda nilianza kuumwa kichwa kwenda hospital wakaniambia nina damu nyingi kupita kiasi,doctor akaniambie nipunguze kula mboga mboga
Kweli duniani kila kitu kina faida na hasara
 
Jamii forum ni zaidi ya familia,mie nilisaidiwa na mtu humu mwaka 2015 kuna ugonjwa wa ngozi ulinitokea kwenye mdomo kila hispital kubwa walisema nj vitiligo hadi muhimbili,baada ya kuandika humu nilielekezwa kwa jamaa moja ndani ya wiki tu nilipona
 
Hivi hili tunda ka msitafeli linapatikana mkoa gani kwa wingi maana naona hili tunda ni adimu sana
lipo baadhi ya mikoa hasa yenye baridi ila hata huku pwani yapo ila watafiti wanasema sio stafeli halisi,yale yenye mibamiba makubwa hivi but stafeli haliko hivo
 
lipo baadhi ya mikoa hasa yenye baridi ila hata huku pwani yapo ila watafiti wanasema sio stafeli halisi,yale yenye mibamiba makubwa hivi but stafeli haliko hivo
Hapa chato yapo mengi sana mastafeli da hii ndo raha ya kutumia mitandaon vizur itabid nianze kutumia tu kama kinga
 
zwa kwa jamaa moja ndani ya wiki tu nilipona[/QUOTE]
[QUOTE="Econometrician, post: 20467603, member: walisema nj vitiligo hadi muhimbili,baada ya kuandika humu nilielekezwa kwa jamaa moja ndani ya wiki tu nilipona[/QUOTE]Mkuu ulipata tiba gani na mimi inisaidie maana na mimi nina tatizo kama lako la vitiligo lakini hadi leo sijapata ufumbuzi
 
Kuna jamaa ailikuwa ananiambia kuwa ilivuja ripot kutoka kwa ma researcher walio kuwa wanatafiti tiba ya cancer,stafeli lilishika chat ya juu sana,mkuu kula stafeli kadri uwezavyo
Tatizo stafeli kulikuta sokoni ni issue aisee, mengi yanaishia nyumbani maana hata mie nlikuwa na kamti kangu enzi nipo kulakulala kwa mama na nilivyoanza maisha nikawa nao mti, usipotoa matunda na mie ndo mwisho wa kula mstafeli. Anyway itabidi tuanze kula kwa fujo sasa
 
halafu usinywe maziwa tena kabisa ni mbolea ya cancer ! chai ya maziwa,sukari maziwa fresh au product zake achana nazo kabisa ni mbolea ya cancer hyo
Vipi mafuta yanayopatikana kwenye maziwa(milk cream)au maziwa kiujumla yanasababisha bad cholestrol?
 
iyo bangi ondoa kabisa, haitibu cancer; Bob Marley alikua anakula mmea balaa lakini cancer ikamuua tena mapema sana!

Bob Marley na franco makiadi lwambo ni mmoja ya watu wa mwanzo kabisa kufa kwa ngoma..sio cancer
 
Wakuu nawasalimu wote.Bila kuwachosha niende kwenye mada iliyonifanya kuhitaji msaada wa mawazo yenu.Ni kwamba nimegundulika nina cancer ya ini iliyosababishwa na hepatitis B na hapa nilipo ninaendelea na
dawa aina ya Sorafenib.Cancer hii imeshasambaa kwenye lymph nodes kwa yoyote anayejua tiba mbadala naomba anisaidie.
Nakaribisha pia ushauri na mawazo mbalimbali.
Nawasilisha.
Huu ugonjwa umekuwa common kwa sasa. Taarifa unazopata uzichuje vizuri. Matapeli ni wengi mno. Hilo la stafeli nimeshasikia, pengine inaweza kukufaa.
 
Jamani mboga mboga ni hatari miezi 3 iliyopita nilikuwa nakura mboga za majani kila siku na kwenye kila mulo.nilikuwa nazipika bila kuunga chochite hata chumvi siweki baada ya muda nilianza kuumwa kichwa kwenda hospital wakaniambia nina damu nyingi kupita kiasi,doctor akaniambie nipunguze kula mboga mboga
Kweli duniani kila kitu kina faida na hasara
ahaaaa nimecheka sana .
 
Mkuu pia ngoja nikushauri kitu,kuna ndugu yangu alikua anaumwa kansa ya damu stage ya mwisho ,na kupima kiukwel ilikua nadra sn kupona tuliambiwa mda wwte ni atatutoka,akaanza kubadilisha mfumo wake wa maisha,akaanza kula sana mbogamboga tu,alaf ilikua siku nzima anakunywa juice ya carrot tu ,alikua kwa siku anakunywa ata lita tano ya juice fresh ya carrot bila kutiwa maji wala sukar,unasaga ktk zile mashine zao special,na mazoez alikua anafanya ,na ayo mastafel uliombiwa alikua ndo anakula,mkuu huwez kuamin alikuja kupona bila kutumia dawa yyt wakat mwanzo tulikua tumeshamkatia tamaa,asaiv yupo mzimaa bukheriii hana cancer wala chochote yumzimaa kama wengine.

NAUZA DAWA ZA SARATANI (CANCER) ZA KUTOKA USA,
ZINATIBU KANSA (CANCER) ZA AINA ZOTE, HATA KAMA MGONJWA ALISHAFANYIWA CHEMOTHERAPY AU RADIATION. HATA KAMA YUPO STAGE 4(FOUR) YA CANCER ANAPONA, NA UKITAKA KUONA VIDEO ZA BAADHI YA WATU WALIOTUMIA NA KUPONA NITAKUONYESHA.
NIMEBAKIWA NA PACKAGE 30, NILILETA KWA AJILI YA NDUGU ZANGU WATUMIE NA WAMEPONA NA ZILIZOBAKIA , KAMA UTAHITAJI KUNUNUA DOSE NITAFUTE KWA SIMU NO: 0626 482 095,
 
Back
Top Bottom