Msaada wa tiba mbadala ya Cancer ya Ini

Msaada wa tiba mbadala ya Cancer ya Ini

Korintoboy, vipi maendeleo yako?
Tupe mrejesho kama kuna tiba iliyokusaidia.

Pole sana Mkuu.

-Kaveli-
 
Wakuu nawasalimu wote.Bila kuwachosha niende kwenye mada iliyonifanya kuhitaji msaada wa mawazo yenu.Ni kwamba nimegundulika nina cancer ya ini iliyosababishwa na hepatitis B na hapa nilipo ninaendelea na
dawa aina ya Sorafenib.Cancer hii imeshasambaa kwenye lymph nodes kwa yoyote anayejua tiba mbadala naomba anisaidie.
Nakaribisha pia ushauri na mawazo mbalimbali.
Nawasilisha.
Tumia high dosage of vitamin C!
Google 'High dosage of vitamin C is a cure for Cancer/ HIV'
vitamin C.png
 
Mtoa mada,unaendeleaje na hali?
This sunday ,my beloved sister has passed away from the same case. [emoji24]

Poleni sana.. kansa ya ini ya Sister ilisababishwa na virusi vya hepatitis ama ilisababishwa na nini?
 
iyo bangi ondoa kabisa, haitibu cancer; Bob Marley alikua anakula mmea balaa lakini cancer ikamuua tena mapema sana!
Mkuu acha kuchanganya ukweli na propaganda, we unakataa bangi haitibu kwa sababu ya Bob kuivuta?
 
iyo bangi ondoa kabisa, haitibu cancer; Bob Marley alikua anakula mmea balaa lakini cancer ikamuua tena mapema sana!

Bob aliwekewa nail kwenye converse shoe aliyoletewa na aliyejifanya mwandishi wa habari aliyetaka kumhoji kumbe ni System so bangi na cancer ya Bob haviingiliani
 
Mkuu pia ngoja nikushauri kitu,kuna ndugu yangu alikua anaumwa kansa ya damu stage ya mwisho ,na kupima kiukwel ilikua nadra sn kupona tuliambiwa mda wwte ni atatutoka,akaanza kubadilisha mfumo wake wa maisha,akaanza kula sana mbogamboga tu,alaf ilikua siku nzima anakunywa juice ya carrot tu ,alikua kwa siku anakunywa ata lita tano ya juice fresh ya carrot bila kutiwa maji wala sukar,unasaga ktk zile mashine zao special,na mazoez alikua anafanya ,na ayo mastafel uliombiwa alikua ndo anakula,mkuu huwez kuamin alikuja kupona bila kutumia dawa yyt wakat mwanzo tulikua tumeshamkatia tamaa,asaiv yupo mzimaa bukheriii hana cancer wala chochote yumzimaa kama wengine.
Ushuhuda kama huu ni uponyaji kwa mioyo iliyopondeka kwa magonjwa.
 
Cancer cells zina grow kwenye mazingira ya ACID na SUKARI (artificial)

Kula vyakula vyenye ALKALI kwa wingi na visivyo na sukari za vuwandani.
 
Ungeorodhesha mkuu vyakula vya alkali ili watu wajue
 
Mleta mada hakuonekana tena humu tangu 21 October 2017 au alibadili ID ?
 
Back
Top Bottom