Korintoboy
Member
- Jan 5, 2015
- 29
- 20
- Thread starter
- #41
Ahsante kwa kunifungua machohalafu usinywe maziwa tena kabisa ni mbolea ya cancer ! chai ya maziwa,sukari maziwa fresh au product zake achana nazo kabisa ni mbolea ya cancer hyo
Ahsante kwa kunifungua machohalafu usinywe maziwa tena kabisa ni mbolea ya cancer ! chai ya maziwa,sukari maziwa fresh au product zake achana nazo kabisa ni mbolea ya cancer hyo
tiba ya chakula inatibu taratibu sana ndo maana nilikuambia unywe ile juice siku tisini bila kuacha hata siku moja ndo ukapime tenaNitumie juice ya carrot kwa muda gani mkuu?
Tumia siku zote ,kila siku,ndugu yangu alitumia ndani ya miez mitatu tu alijiona tofauti kabisaaa,mwili wake ulianza kujirud hali yake ya kawaida mpk ngozi,alipoenda kupima akaulizwa umetumia dawa gan mbn vipimo vinaonesha hamna ugonjwa,ndo akawaambia alivofanya kua ktk kipind chote iko ilikua yy ni vyakula vya mboga mboga tu na kwa siku lazma juice ya karot lita tano nzima,na mazoez anafanya kama kawaida na ayo mastafel anakula,lknaliacha kula vyakula vya sukar kipind iko,aliacha vyakula vya mafuta kabisaa,yy ilikua ni mwendo wa juice ya karot tu,ukiambiwa unahis kama masihara kwa jinsi alivopona na kitu kdg tu ni juice ya carrot.ndo ivo mkuuNitumie juice ya carrot kwa muda gani mkuu?
sukari na maziwa acha kabisa. anza kuishi kama mgonjwa wa kisukari soda ,majuice ya viwandani acha kabisaAhsante kwa kunifungua macho
kama jamaa hajaoa anioe nikamtunze hadi aponemiss natafuta...leo...nimekukubali.....sio...kwa huo ushauri
Ahsante sana mkuu ni mzigo mzito sanaPole sana mkuu, I'm feeling your pains, we are together just keep it up kwa hizo tiba ulizoambiwa.. Mungu atakusaidia inshallah..[emoji31]
hakuna uzito wowote mkuuAhsante sana mkuu ni mzigo mzito sana
SatuuuuMkuu pia ngoja nikushauri kitu,kuna ndugu yangu alikua anaumwa kansa ya damu stage ya mwisho ,na kupima kiukwel ilikua nadra sn kupona tuliambiwa mda wwte ni atatutoka,akaanza kubadilisha mfumo wake wa maisha,akaanza kula sana mbogamboga tu,alaf ilikua siku nzima anakunywa juice ya carrot tu ,alikua kwa siku anakunywa ata lita tano ya juice fresh ya carrot bila kutiwa maji wala sukar,unasaga ktk zile mashine zao special,na mazoez alikua anafanya ,na ayo mastafel uliombiwa alikua ndo anakula,mkuu huwez kuamin alikuja kupona bila kutumia dawa yyt wakat mwanzo tulikua tumeshamkatia tamaa,asaiv yupo mzimaa bukheriii hana cancer wala chochote yumzimaa kama wengine.
amekusikia.....kama jamaa hajaoa anioe nikamtunze hadi apone
Mbona ini lipo kulia mkuu?Nilikuwa na maumivu ya tumbo upande wa kushoto mkuu
iyo bangi ondoa kabisa, haitibu cancer; Bob Marley alikua anakula mmea balaa lakini cancer ikamuua tena mapema sana!Staferi pamoja na bangi nasikia zinaondoa cancer