Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,609
- 59,655
Majani ya mstaferi ni dawa Ila unakunywa na vipimo Mimi nilikunywa km chai sio km dawa hapo ndio nilikosea, kilichonipata sitosahauIlikuwaje ?
Majani ya mstaferi ni dawa Ila unakunywa na vipimo Mimi nilikunywa km chai sio km dawa hapo ndio nilikosea, kilichonipata sitosahauIlikuwaje ?
iyo bangi ondoa kabisa, haitibu cancer; Bob Marley alikua anakula mmea balaa lakini cancer ikamuua tena mapema sana!
Elezaea kwa vipimo nduguMajani ya mstaferi ni dawa Ila unakunywa na vipimo Mimi nilikunywa km chai sio km dawa hapo ndio nilikosea, kilichonipata sitosahau
Sidhani kama tunae tena korintoboy RIPMleta mada hakuonekana tena humu tangu 21 October 2017 au alibadili ID ?
YawezekanaSidhani kama tunae tena korintoboy RIP
6 years bro....sina hakika kwa jinsi navyo ifahau H-B sidhani. Hiyo ni balaa ni kama EbolaAu bado anahangaika na maradhi
Ilikuwa ni cancer6 years bro....sina hakika kwa jinsi navyo ifahau H-B sidhani. Hiyo ni balaa ni kama Ebola
Watanzania waliozaliwa nyuma ya 2002 hawakupata chanjo ya homa ya inj ambayo hupelekea kansa. Na maambukizi yake ni rahisi mno kupitia majimaji ya mwili kama vile mate, jasho au semeni na majimaji ya ukeni.Wakuu nawasalimu wote.
Bila kuwachosha niende kwenye mada iliyonifanya kuhitaji msaada wa mawazo yenu.
Ni kwamba nimegundulika nina cancer ya ini iliyosababishwa na hepatitis B na hapa nilipo ninaendelea na dawa aina ya Sorafenib.
Cancer hii imeshasambaa kwenye lymph nodes kwa yoyote anayejua tiba mbadala naomba anisaidie.
Nakaribisha pia ushauri na mawazo mbalimbali.
Nawasilisha.
Usinywe zaidi ya kikombe kimoja kwa siku inachekecha figo ukinywa nyingi,Elezaea kwa vipimo ndugu