Msaada wa namna ya kutokomeza mende

Msaada wa namna ya kutokomeza mende

Blue14

Member
Joined
Mar 27, 2024
Posts
16
Reaction score
19
Habari Wakuu

Binafsi nasumbuliwa sana na mende Nyumbani kwangu, kiasi kwamba wamefikia hatua ya kula chochote kilichopo mbele yao mfano chakula, matunda, na hata nyanya, karoti

Lakini cha kushangaza zaidi wamefikia mpaka hatua ya kuning'ata nikiwa nimelala ambapo nikiamka asubuhi nakuta michubuko kwenye vidole vyangu.

Hivyo nimeamua kuja kwenu ili nipate suluhisho

Asanteni
 
Rungu ndio kiboko Yao. Kama nyumba haishindi na MTU puliza ya kutosha msiingie ndani Kwa Masaa kadhaa. Hata baada ya kudeki wataendelea kufa. Tumia mara Kwa mara watapotea kabisa.
 
Sawa
 
Fanya hivi; kuna sumu maarufu ya mende iko kama chaki; hivyo hivyo kama chaki. Kwa wauzaji waambie sumu ya mende design ya chaki.

Jioni kabla ya kulala panga vyombo vyako sawa sawa hasa jikoni. Paka hiyo sumu kwenye kuta na sakafuni; unachorachora kama watoto wanaojifunza kuandika wanavyo hora kuta. Nenda kalale.

Kama ni mwajiriwa nakushauri zoezi hilo ulifanye weekend Ijumaa kuamkia Jumamosi au Jumamosi/ Jumapili kwani kuna balaa linakuja.

Aloo, kesho yake kazi ni moja tu; mtakusanya viroba kwa viroba vya mende! Na hutoona mende ndani kwako for at least 3 years ahead.

Ulete mrejesho.
 
Kuna dawa ya unga inaua sana ninayo,kama upo seriously njoo pm tufanye biashara
 
Fanya hivi; kuna sumu maarufu ya mende iko kama chaki; hivyo hivyo kama chaki. Kwa wauzaji waambie sumu ya mende design ya chaki.

Jioni kabla ya kulala panga vyombo vyako sawa sawa hasa jikoni. Paka hiyo sumu kwenye kuta na sakafuni; unachorachora kama watoto wanaojifunza kuandika wanavyo hora kuta. Nenda kalale.

Kama ni mwajiriwa nakushauri zoezi hilo ulifanye weekend Ijumaa kuamkia Jumamosi au Jumamosi/ Jumapili kwani kuna balaa linakuja.

Aloo, kesho yake kazi ni moja tu; mtakusanya viroba kwa viroba vya mende! Na hutoona mende ndani kwako for at least 3 years ahead.

Ulete mrejesho.
NAKAZIA

hizo rungu ni usumbufu tu,dawa ni chaki
 
Dawa nyingine nunua rungu ya kupulizia inaua pia mkuu ila madirisha uyafunge wakati unapulizia hewa isiingie
 
Habari Wakuu

Binafsi nasumbuliwa sana na mende Nyumbani kwangu, kiasi kwamba wamefikia hatua ya kula chochote kilichopo mbele yao mfano chakula, matunda, na hata nyanya, karoti

Lakini cha kushangaza zaidi wamefikia mpaka hatua ya kuning'ata nikiwa nimelala ambapo nikiamka asubuhi nakuta michubuko kwenye vidole vyangu.

Hivyo nimeamua kuja kwenu ili nipate suluhisho

Asanteni
Pulizia rungu ,vinginevyo Kuna dawa ya unga
 
Kiongozi unaifahamu hiyo sumu? Balaa lake kwa mende usiombe. Ila pia inatakiwa kusambatisha mazalia yao hasa kwa kupuliza sumu kwenye makaro.
Niliwah kuitumia lakin bado niliendelea kuwaona mende
 
Tafuta huu mtambo
1000016375.jpg
 
Habari Wakuu

Binafsi nasumbuliwa sana na mende Nyumbani kwangu, kiasi kwamba wamefikia hatua ya kula chochote kilichopo mbele yao mfano chakula, matunda, na hata nyanya, karoti

Lakini cha kushangaza zaidi wamefikia mpaka hatua ya kuning'ata nikiwa nimelala ambapo nikiamka asubuhi nakuta michubuko kwenye vidole vyangu.

Hivyo nimeamua kuja kwenu ili nipate suluhisho

Asanteni
Punguza uchafu
 
Back
Top Bottom