Msaada wa namna ya kutokomeza mende

Msaada wa namna ya kutokomeza mende

Habari Wakuu

Binafsi nasumbuliwa sana na mende Nyumbani kwangu, kiasi kwamba wamefikia hatua ya kula chochote kilichopo mbele yao mfano chakula, matunda, na hata nyanya, karoti

Lakini cha kushangaza zaidi wamefikia mpaka hatua ya kuning'ata nikiwa nimelala ambapo nikiamka asubuhi nakuta michubuko kwenye vidole vyangu.

Hivyo nimeamua kuja kwenu ili nipate suluhisho

Asanteni
Chukua mende kumi, watie kwenye flying pan , watafune vizuri mbele ya ndugu zao watahama pasipo kuaga
 
Back
Top Bottom