Msaada wa namna ya kufuta michoro mwilini bila kusababisha madhara (Tattoo)

Nahitaji kutoa tatoo ambayo nilijichora zamani lakn haipotei ni herufi mbili mkono wa kushoto kwenye msuli... naomba anayejua njia yoyote ile ilimradi hii tattoo ipotee.. ahsanteni
 
Kwani ulichora wapi nataka kuchora

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nahitaji kutoa tatoo ambayo nilijichora zamani lakn haipotei ni herufi mbili mkono wa kushoto kwenye msuli... naomba anayejua njia yoyote ile ilimradi hii tattoo ipotee.. ahsanteni

Yaani unakosa kazi ya JWTZ kizembe hivyo !!! Na liwe fundisho kwa vijana wanaodhani huo ni urembo !!!
 
Pale Mtongani walikuwa wanatoa ispokuwa sikuchukua Namba zao.Pole mkuu,
unatushauri nn ss ambao hatuja chora maana huwa natami kias.
Cc mandwa
 
Last edited by a moderator:
Nahitaji kutoa tatoo ambayo nilijichora zamani lakn haipotei ni herufi mbili mkono wa kushoto kwenye msuli... naomba anayejua njia yoyote ile ilimradi hii tattoo ipotee.. ahsanteni

Kwanini unataka kuitoa?
 
Very simple chukua pasi ya moto kusisha kwenye tatooo kisha uguza kidonda cha moto kama una mwili mzuri kinapona na kovu linapotea!
 
Attachments

  • 1406032259376.jpg
    1406032259376.jpg
    56.2 KB · Views: 305
nimeomba msaada jinsi ya kutoa jamani ,mnafkiri mtaniambia nn cha kuudhi zaidi ya hii tatoo ambayo siitaki
 
Pale Mtongani walikuwa wanatoa ispokuwa sikuchukua Namba zao.Pole mkuu,
unatushauri nn ss ambao hatuja chora maana huwa natami kias.
Cc mandwa

ni hospital au, naomba details kdg mkuu nataka niende
 
Last edited by a moderator:
ngozi kurudi kama ilivyokuwa haiwezekani,watakufuta kwa kukuchora tena,nenda ulipochora
 
Nahitaji kutoa tatoo ambayo nilijichora zamani lakn haipotei ni herufi mbili mkono wa kushoto kwenye msuli... naomba anayejua njia yoyote ile ilimradi hii tattoo ipotee.. ahsanteni

Kuna dawa ya kupaka....nasikia inauzwa 70buks. Jaribu kuulizia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom