Kuna binti mmoja ambaye alitokea kujenga mazoea na ukaribu nami.
Akawa huru kunieleza mambo mengi yanayomsibu katika mahusiano ya kimapenzi.
Yeye alipokuwa mdogo alitokea rafiki mmoja wa kaka yake ambaye alikuwa baharia, akamchora Tatoo kubwa tu kwenye mikono yote miwili.
Alipokuwa ndo akajua nini maana ya kuwa na hizo tatoo, kila akijenga mahusiano na vijana ambao wanaonyesha uelekeo wa kumuoa, mara wanapoziona hizo( huwa anazificha kwa kuvaa mashati yenye mikono mirefu)
huwa wanamuona kama aliyewahi kujihusisha na umalaya na hivyo humuacha. Mdogo wake ambaye alichorwa pia, aliamua kujichoma na pasi mkononi ili kufuta hizo tatoo.
Hili limekuwa ni tatizo kubwa katika maisha ya binti huyu,
kwa mwenye ushauri wa namna ya kuondoa hizi alama naombeni tumsaidie huyu kiumbe anayeumizwa.
samahani kwa kutoa maelezo marefu!!