Msaada wa namna ya kufuta michoro mwilini bila kusababisha madhara (Tattoo)

Nahitaji kutoa tatoo ambayo nilijichora zamani lakn haipotei ni herufi mbili mkono wa kushoto kwenye msuli... naomba anayejua njia yoyote ile ilimradi hii tattoo ipotee.. ahsanteni

Huwezi kuzifuta. Jaribu kwenda kumuona daktari wa upasuaji atakusaidia kukuchuna ngozi ya juu kiufundi. Nina mtu aliyefanikiwa kuchunwa.
 
nimeomba msaada jinsi ya kutoa jamani ,mnafkiri mtaniambia nn cha kuudhi zaidi ya hii tatoo ambayo siitaki

Relax mpwa kuna mtani anaitwa tattoo Master ngoja nikutafutie namba zake yupo Dsm anachora na kufuta anatumia ink ya kufutia huwezi kujua kama kulikua na tattoo ingawa huo uwino mpaka uumpe order aagize SA ina-cost km laki 2,kama una mtu SA agiza mwenyewe inaweza ikapungua.
 
Ukiona mtu anataka kufuta tatoo ujue kuna nafasi ya jeshi anaifukuzia.
Human behaviour flow from three main source; Desire, emotion and knowledge.
Plato.
 
chukua Pasi ya umeme chomeka kwenye umeme,ikipata moto sanaaaaa jibandike kwenye tatoo.hutoziona tena hizo tatoo.
 
Kuna tangazo nalionaga pale kigogo,panda basi la kigogo mburahati shuka landa bar tembea hatua kama kumi upande huo huo ulioshukia utakuta bango hilo,au ulizia utaonyeshwa hebu jaribu hapo kwanza alafu njoo utuambie,mi nina tatoo moja tu niliyochorwa kwa lazima bila kujijua (Ndui).Asante
 
Aliyekuambia uchore anaweza pia kukuambia namna au sehemu ya kufuta.
 
Pole, chukua hii seriously, tafuta korosho ikiwa mbichi, kile kichwa cha tunda ukipasue, kamua maji yake then paka kwa uangalifu ilipo tattoo yako. Kitatokea kidonga kama cha moto. Tibu kidonda na ukipona itabaki kovu ya kawaida.
Asante.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mimi ni kijana wa kidato cha sita, nina tatoo ya kuchora kwa mwiba kwenye mkono na paja, ndoto yangu ni kuwa mwanajeshi, naomba msaada kuhusu tiba ya kuondoa tatoo mwilini ili ni qualify kwenda jeshi.
 
chukua pasi
ichomekeke katika soket
acha piate moto
fumba macho alafu iweke pale
waaaaaa
utatibu kidonda kwa muda kidogo lakin tatto itakuwa imefutika

na kudedicate wimbo wa tattoo wa jordin spark ukuburudishe asubuh ya leo
 
Hahahaaaaaa masai dada unavitukoo unajuaa yani nmecheka sana leo
 
Last edited by a moderator:
mimi ni kijana wa kidato cha sita, nina tatoo ya kuchora kwa mwiba kwenye mkono na paja, ndoto yangu ni kuwa mwanajeshi, naomba msaada kuhusu tiba ya kuondoa tatoo mwilini ili ni qualify kwenda jeshi.

Nenda kwa wale wachoraji tatoo watakuwa na uzoefu na ujuzi jinsi ya kufuta,

Ukiweza tumia njia ya masai dada
Otherwise
paka rangi ya ngozi yako kama jaradio ya hiyoo
 
Last edited by a moderator:
mimi ni kijana wa kidato cha sita, nina tatoo ya kuchora kwa mwiba kwenye mkono na paja, ndoto yangu ni kuwa mwanajeshi, naomba msaada kuhusu tiba ya kuondoa tatoo mwilini ili ni qualify kwenda jeshi.

Mwagia tindikali sehemu yenye tatoo itafutika tu
 
Mimi ni kijana wa kidato cha sita, nina tatoo ya kuchora kwa mwiba kwenye mkono na paja, ndoto yangu ni kuwa mwanajeshi, naomba msaada kuhusu tiba ya kuondoa tatoo mwilini ili ni qualify kwenda jeshi.

kwangua na kiwembe halafu ulijua unandoto za kuja kua mwanajesh ukajichora 3 za nini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom