Msaada wa namna ya kufungua mfuniko huu!

Msaada wa namna ya kufungua mfuniko huu!

Nashukuru sana kwa ushauri nitaufanyia kazi maana ni kagumu balaa.Choo kinarudisha maji yamejaa nilitaka nizibue kutokea hapo
 
Hii ilipigwa seal ya cement kali, hapo ni upasue kufuata huo mstari wa mfuniko tu ili kuachanisha hiyo seal ya cement kali.

Ila tu ahakikishe ana njaa maana kama akiwa kashiba, shauri yake 😂😂
"Hii ilipigwa seal ya cement kali, hapo ni upasue kufuata huo mstari wa mfuniko tu ili kuachanisha hiyo seal ya cement kali"
 
Hii ilipigwa seal ya cement kali, hapo ni upasue kufuata huo mstari wa mfuniko tu ili kuachanisha hiyo seal ya cement kali.

Ila tu ahakikishe ana njaa maana kama akiwa kashiba, shauri yake 😂😂
Ndio shida ya kutumia mafundi vishoka hii
 
Hii lugha mbona imekaa kiaskari sana??...........ni huo huo mfuniko au kuna mfuniko mwingine ndio unataka kuufungua...........?? Anyway zingatia futa jingi............... na kasoksi ka kutembelea........
 
Back
Top Bottom