Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,694
- 870,413
Kuna chama cha wamiliki na wapangaji nenda huko kamshtaki, ukikosea ukachukua sheria mkononi itakula kwako! Kuwa mvumilivu na tumia busara sana ku dili na hii haliHabarini Wanajamvi,
Kuna mpangaji wangu ni msumbufu balaa kulipa kodi anasumbua (ana deni la miezi 2) na bill ya maji ndiyo kabisa hajisumbui.
Naombeni msaada jinsi ya kudeal na wapangaji wasumbufu kama hawa maana nataka nishike hata mali yake moja ya gharama asije akahama usiku usiku.
Asanteni, nasubiri ushauri wenu
Sent using Jamii Forums mobile app