Msaada wa mawazo kuhusu combi ya PGM

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yaaan B/math Una D sasa advaved maths itakuajee mkuu
Sio kwamba math na D ndio shida sema mtihan ndio sikumaliza kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu
 
Reactions: cai
Tatakushauri kila aina ya ushauri, lakini mi nahisi hao walimu ndio wanaoweza na ushauri mzuri kwako, kwani wamekaa na wewe miaka minne, wanakujua vizuri udhaifu na uimara wako, sisi huku tunakushauri hata hatujui tunamshauri mtu wa aina gani..... Kaa na walimu wako waulize vizuri faida na hasara za ushauri wanaokupa, kumbuka umepata bahati ya kuwa karibu na walimu waliokufundisha manake wengine huko shule maisha waliyokuwa wanaishi na walimu wao utadhani m23 na majeshi ya serikali, ukiona walimu wako hawana hoja kwenye huo ushauri jifunge mshipi mkabili adui aliye mbele yako, ufe wewe afe yeye....
 
Tranta easy aje nimsolvie nishasolve yote na solutions zake nnazo
 
Kapige hilo jiwe enzi zetu PGM tuliita PAGUMU, PGM na PCM wanaingiliana mwingi maana baada ya adv level fani za uhandis nyingi ni Hesabu na Phy ndo zinahusika,wengi wanaendaga PGM ili wapate pumziko kwenye geog
 
Tranta easy aje nimsolvie nishasolve yote na solutions zake nnazo
Na kama wewe ni mwalim basi nenda kawape wanafunzi naimani zitawaidia sana!!

Alafu walimu muangalie sana maana nyie ndio mnachangia sana wanafunzi kuharibu au kufaulu!!

Jitahidi ukiwa class uwe unawapa ushauri wanafunzi kama hawa sio tu mnasema PCM ngumu...oooh mara haina soko!! Na ndio maana chuon mkafundishwa saikolojia mkuu!!

Wasaidieni wanafanzi walau kwa ushauri sio tu mnawatisha!!
 
Kapige hilo jiwe enzi zetu PGM tuliita PAGUMU, PGM na PCM wanaingiliana mwingi maana baada ya adv level fani za uhandis nyingi ni Hesabu na Phy ndo zinahusika,wengi wanaendaga PGM ili wapate pumziko kwenye geog
66 Kilo Volt!! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kapige hilo jiwe enzi zetu PGM tuliita PAGUMU, PGM na PCM wanaingiliana mwingi maana baada ya adv level fani za uhandis nyingi ni Hesabu na Phy ndo zinahusika,wengi wanaendaga PGM ili wapate pumziko kwenye geog
Ivi tuna line za 66kV kweli sikuhizi?
 
Home kuwa vizuri kama vipi mkuu?
Hapo kama unadream za urubani pesa home muhimu na tokeo safi.

Ila kama iyo sio kesi kakomae na PGM hiyo ila chemical & processing engineering pamoja na petrolleum eng itakuwa imekubana hutoweza soma.
Hizo zingine itakuwa poa.
 
Kitu ambacho sitaki ni kupiga msuli kuja kuishia kuwa mwalimu
Inaelekea huna malengo dogo .....msome vizuri Upepo wa Pesa na Zanzibar-ASP wameshakupa inputs kwamngu mie kama issue ya Engineering bado PGM ni nzuri tu tena hata msuli wake sio mkubwa sana kama PCM hasa hapo kwenye Chemistry kama haupo vizuri. Otherwise iwe PCM ama PGM mwisho wa siku Physics na Maths ndo inaowakutanisha huko juu unless kama unataka kusoma Chemical engeneering
 
Sawa mkuu tutawapa ushauri japo vichwa ngumu sana hawa sijui utandawazi au nini
 
Sawa mkuu tutawapa ushauri japo vichwa ngumu sana hawa sijui utandawazi au nini
Maana huyu dogo naye kakatishwa tamaa na hao hao walimu wenzako sasa sijui mnashauri nini!!

Vichwa vigumu sio sababu maana chuoni mlifundishwa jinsi ya kudeal nao!!
 
piga PGM mdogo angu ... technique ni koja tu advance make sure una cover topic zote kabla ya mwalimu wako wa shule NA UELEWE ...HAPO UMEMALIZA
 
Mdogo wangu soma PGM hiyohiyo me nimeisoma hiyo kozi ni nzuri ukiwa makini na ufaulu wake sio complicated ukiwa msomaji Na kozi zipo nyingi sana Na nzuri unaweza soma civil ,geology, aviation,enviromental ,architecture nyingi tu nitakua nimezisahau zingne but Sa ivi nipo kazini kwa hiyo kozi cha muhimu soma ufaulu vizuri achana Na maneno ya watu na kubadili kozi inaweza kuletea shida mbelen kwa serikali inavoelekea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…