Msaada wa mawazo kuhusu combi ya PGM

Naungana na wewe mkuu!! Mwaka wetu walichukua watu 20 au 25 tu! Nakumbuka ilikua na ushindani sana!!

Ila kwangu hamna kitu kama engineering...!! Hii mambo naipenda sana!!
Ndiyo maana wanachukua watu wachache sana
 
Chem na bios ndio azipandi sasa
 
Haya maneno hata mimi niliambiwa. Lakini kufaulu nilifaulu na chuo nikaenda na sasa mimi ni engineer!!

Je EGM ina ushirikiano?? Mbona watu wanapiga one tu!!

Ugumu au urahisi wa kombi is nothing but state of mind!!
 
bwana mdogo acha kutuongopea wew unaiogopa comb... Kudadadeki kakaze
 
Haya maneno hata mimi niliambiwa. Lakini kufaulu nilifaulu na chuo nikaenda na sasa mimi ni engineer!!

Je EGM ina ushirikiano?? Mbona watu wanapiga one tu!!

Ugumu au urahisi wa kombi is nothing but state of mind!!
Ila kweli mkuu, ndio mana mwanzo niliuliza kama hazina mana why ziliwekwa?
 
Isipo kuwa PGM nadhani haijawahi kutoa TO, na geography ndo sababu kubwa so aliye kuambia geog n rahisi sawa lakini A za Physics n nyingi na rahisi kuzipata pamoja na Math, lakini A za geog ni chache sana pamoja na urahisi unao zungumzwa, kikubwa kapige shule PGM ipo poa tu!
 
Mwezi ujao
Nenda katafute twishen anza kukomaa na mechanics na vi sub topics vyake ukiipiga walau nusu tu ukienda shule itakusaidia sana!!

Piga pure...kama ukiwenza achana na sets na logics...nenda anza na trig kama mda ukiruhusu anza differentiation na integration!!

Itakupa faida sana ukienda shule mkuu!! Na ukifika shule usibanie masela...waite uwafundishe hivi ndivyo wenzako tulifanikiwa!!
 
Hao walimu wako hawana sababu za msingi, mimi nilisoma hiyo PGM hapo ifunda unapotarajia kwenda now am a Computer Engineer, kapige shule ya PGM!
Shukrani kwa mawazo yaliyotukuka engineer mwenzangu!!
 
Asante mkuu ngoja kesho nianze tuit
 
Mkuu hata HKL na PCB sizani kama zilitoa TO ila watu wanasoma bila shida!!

So far geography kwangu ndio ilikua nyumbani!! Nakumbuka by then tulikua na topic ya map...alafu ilikua na marks nyingi sana kama 32 hivi...binafsi nlikua siipendi hii topis....ila nilipenda sana physical geog!!

Mungu si athman wakatuletea sylabus mpya...map wakaipunguzia marks hii kwangu ilikua sherehe daaaah!!

Nikajipigia physical maswali yote...map nikagusa gusa...nikamaliza na swali la photo!! Pepa one ikaisha...pepa two ni kama maji hahahaa!!

Mwisho wa siku tukaenda chuo na sasa tushamaliza!!! Life goes on...
 
Haya maneno hata mimi niliambiwa. Lakini kufaulu nilifaulu na chuo nikaenda na sasa mimi ni engineer!!

Je EGM ina ushirikiano?? Mbona watu wanapiga one tu!!

Ugumu au urahisi wa kombi is nothing but state of mind!!
Sawa Mimi nimempa tu ushauri kulingana na uzoefu wangu kuangalia performance ya pgm!
egm wengi wamafaulu safi coz economics na geography ndio Yale Yale hakuna calculation sana zaidi ya maelezo tu!
Anyway ni ushauri tu kama ataona vipi au chukue au aupige chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…