Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,761
Pgm sio lazima awe pilot mkuu... Anaweza kuwa hata civil...mechanical engineer...electrical engineer and the alike!!Pilots and General Managers.
Haaaaaaah. Komaa tu utakuwa pilot, engineering zote isipokuwa chemical, Nahodha Wa Titanic, Mwl, Geologist na mengine mengi
Mkuu Chemi inanipiga chini geo Nilikuwa napasuaLabda kwa nyongeza tu! PCM na PGM zimetofautiana kwenye chem na geography!! Sasa hapa uangalie je unapenda chem?? Au unapenda geography??
Sasa jiulize hilo swali na ikipata jibu fanya maamuzi!!
Bios nilikuwaga siipendi toka form one kutokana na mwalimu japo nimepata C ila itaniumizaKama unaweza PCB chukua hii.Hizo PCM na PGM ni mtu na Dada yake ila kama unajiona ni mvumilivu hutaogopa kufanikiwa hata uzeeni basi chukua PCM au PGM sababu kubwa hata uwe na Elimu gani ya Engenearing mafanikio yako asilimia 85 yatategemea uzoefu ila Ukiwa Docta,Medical lab ni suala la nin unaelewa na unatenda kwa kiasi gani hapo ndipo mafanikio yako.Pia usisahau kufata dream yako maana hata ukiwa huna kitu umetima dream yako ya kuwa na taaruma Fulani huta juta.
Utakua mwalim kama usipopata marks nzuri mkuu! Kama ukiwa div one au two pia unaweza kuwa mwalimu kama ukitaka...au unaweza endelea na uhandisi!!Kitu ambacho sitaki ni kupiga msuli kuja kuishia kuwa mwalimu
Mkuu hii inahusiana na nnMkuu soma hiyo PGM halafu faulu vizuri baada ya hapo nenda Udsm course inaitwa ACTUARIAL SCIENCE baada ya hapo miaka kadhaa mbele utanitafuta. Sina maneno mengi Sana .
Ila wakimaliza wengi wanaajiriwa TCAA na TRA
Mkuu wewe tayari n MTU mzima vingine Google tu hapo hiyo course watakuleteaMkuu hii inahusiana na nn
Afu geog ni rahisi kufaulu mkuu!! Nakushauri komaa na kombi unayoipenda toka moyoni!!Mkuu Chemi inanipiga chini geo Nilikuwa napasua
Ahaaaa sasa kumbe naweza kujipanga nipasue maana phy na math naipenda sana tu na geo ndio nimepata A ayo mengine C na math DUtakua mwalim kama usipopata marks nzuri mkuu! Kama ukiwa div one au two pia unaweza kuwa mwalimu kama ukitaka...au unaweza endelea na uhandisi!!
Actuarial science ni moja ya kozi mpya hapa tz nadhani ilianzishwa mwaka 2011 pale udsm...ni kozi inayohusu maswala ya insurance na mengine kama hayo...hii kitu inahitaji sana pure maths!!Mkuu hii inahusiana na nn
Kumbe mkuu, hapo nimekupataActuarial science ni moja ya kozi mpya hapa tz nadhani ilianzishwa mwaka 2011 pale udsm...ni kozi inayohusu maswala ya insurance na mengine kama hayo...hii kitu inahitaji sana pure maths!!
Sio pgm tu...hata egm na pcm wanasoma bila shida!!
Kitu ambacho sitaki ni kupiga msuli kuja kuishia kuwa mwalimu
Lakini n moja ya course nzuriActuarial science ni moja ya kozi mpya hapa tz nadhani ilianzishwa mwaka 2011 pale udsm...ni kozi inayohusu maswala ya insurance na mengine kama hayo...hii kitu inahitaji sana pure maths!!
Sio pgm tu...hata egm na pcm wanasoma bila shida!!
Mi nakushauri achana na matokeo ya fom4...kama umeamua kusoma pgm na kama mda wa kufungua shule bado...tafuta twishen au tafuta mtu aliyesoma phy anendelee kukupigia mapindi ya phy na maths....ukianza na mechanics na pure ukapiga walau trig itakupa faida sana ukienda shulen!!Ahaaaa sasa kumbe naweza kujipanga nipasue maana phy na math naipenda sana tu na geo ndio nimepata A ayo mengine C na math D
Sawa mkuuMi nakushauri achana na matokeo ya fom4...kama umeamua kusoma pgm na kama mda wa kufungua shule bado...tafuta twishen au tafuta mtu aliyesoma phy anendelee kukupigia mapindi ya phy na maths....ukianza na mechanics na pure ukapiga walau trig itakupa faida sana ukienda shulen!!
Naungana na wewe mkuu!! Mwaka wetu walichukua watu 20 au 25 tu! Nakumbuka ilikua na ushindani sana!!Lakini n moja ya course nzuri