LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,977
- 47,624
Sasa unatumia simu ya bei gani hiyo isiyo na opt ya blacklist?Simu yangu haina option ya blacklist.
Sasa unatumia simu ya bei gani hiyo isiyo na opt ya blacklist?Simu yangu haina option ya blacklist.
Chizi alogwi × 2.
Ninakutumiaje mkuu, hata mm ananisumbua sanaNitumie 28700 nimzuie jamaa asikutumie msg tena
Kweli,hiyo ndo dawa. Lakini,huyu mtu anapataje namba za watu? Wakati fulani hizi msg zinalenga na kukuita majina yaliyozoeleka sehemu unazotoka. Mfano,wewe Mwajombe,habari za Mbeya!! Nahisi wana connection fulani na messsage centres za mitandao yetu.Pole sana mkuu hata mimi huwa natumiwa sana hzo txt ila uwe unazipuuza tu na kuzifuta