Msaada wa kisaikolojia unahitajika

Oppomall

JF-Expert Member
Feb 8, 2017
3,496
3,591
Habari zenu wakuu.
Mwenzenu yamenikuta, naombeni msaada namna ya kucontrol hii hali.

Mimi ni kijana wa 34yrs hv, nilikua na mahusiano na mdada mmoja ambae kwangu alikua rafiki, mshkaji na kama ndugu. Yeye ana 31yrs ana mtoto mmoja ambae baba wa mtoto ni marehemu.

Twende kwenye kisa, mahusiano haya yalikua serious kidogo na tulikua na mipango ya kukamilisha taratibu zote mwishoni mwa mwaka huu ili ndoa ifanyike.

Sasa wakuu kisa cha kunileta kwenu kupata ushauri imetokea BREAK UP YA GHAFLA SANA, jambo ambalo linaniumiza sana sina utulivu kisaikolojia.
Moyo wangu unadunda kupita kawaida, sina hamu ya kula, usingizi shida na ufanisi wangu katika kazi umepungua mno.
Kusema ukweli huyu mwanamke nilimpenda sana nae alionesha kunipenda na kunijali sana kwa namna alivyokuwa akifanya kwa muda mfupi ambao nimekua nae.

Kwanza yeye alikua anaishi kwa wazazi wake na nilikua na mazoea ya kumtembelea na ndugu zake tunafahamiana.
Alikua anatoka kazini na kuelekea kwao ama wakati mwingine anakuja kwangu, anaweza akakaa wiki zima kisha anarudi tena kwao weekend.
Sasa wiki iliyopita aliniaga juu kwa juu akiwa kazini akisema anaenda kwao ameitwa na mama yake mkubwa, nikasema sawa.

Tangu jioni ile mawasiliano yakawa ya shida sana, ilikua siku ya Alhamisi. Basi nikajua Ijumaa atakuja maana kwa kipindi hiki ni mfululizo wa mwezi mzima alikua hapa kwangu. Mara Ijumaa ikapita, Jumamosi, Jumapili mpaka namwona Jumatatu.

Anakuja amebadilika yuko serious sana si kama nilivyomzoea ananiambia ana mambo ya kuongea nami mengi sana, nikasema sawa keti tuongee. Yuko busy na simu.
Nikachukua simu nikaweka pembeni. Namwambia tuongee hana cha kusema mara anaanza kukusanya nguo zake.
Vipi tena?

Anasema nataka nichukue nguo za mtoto, nikiangalia anakusanya nguo za mtoto plus kuchanganya na zake. Basi nikatulia nijionee, akamaliza lile zoezi akaanza kuaga, nikamwambia mbona leo mapema mapema? Maana kwa kawaida hata kama amekuja na kuondoka same day huwa anaondoka jioni kabisa sasa siku hiyo nikasmell something fish.

Nikataka kuchukua simu, nione mawasiliano ya mle akawa mbishi kidogo akidai kuna msg sitaki usome humo. Msg gani akasema kuna vitu vya siri tumechat na mama. Nikamwambia its okay, text za mama mimi sisomi akaniacha.
Kuanza kusoma kuna namba ngeni imetext mara nyingi ikiita mke wng.. mke wng, na last text ya kwake ametuma ikisema chaji inaisha simu inazima soon!

Daaah, nikasema huyu mwamba atakua ndie anaemrubuni. Nikachukua namba, nikaweka kwa simu yangu. Akaaga na kutoka, sikumtoa kbs. Nikaipiga ile namba jamaa akapokea, nikamuuliza kuhusu mhusika akajibu anamfahamu ni mtu wake kitambo na alikua nae tangu Alhamis jioni na kaacha mtoto kwake hata ule muda tunaongea ameaga anaenda Serikali za mtaa.

Basi nikamwambia nashukuru, nilitaka tu nijue hilo maana sioni busara kuanza kugombea mwanamke. Tukaishia.

Sasa kinachoniumiza ni situation ilotokea kwa ghafla na mwanamke amenitext leo kuonesha kujutia, nikasema km ni kweli ngoja nijiridhishe aliko leo. Baada ya kutoka kazini nikachukua usafiri mpaka kwao, huku tunachat.

Nimefika nikamuuliza uko wapi? Anashindwa kujibu, mara anauliza kwani umeniona wapi?
Nikajua shits goes on! Nimerudi zangu home nimetulia ila sipo sawa kabisa.

Wataalam wa hizi incidents nifanyeje ili nikae sawa bila kuangukia kwenye mambo ya kunidhoofisha kiakili na kiafya?

Nawasilisha.
IMG_20230126_212121.jpg
 
Habari zenu wakuu.
Mwenzenu yamenikuta, naombeni msaada namna ya kucontrol hii hali.
Mimi ni kijana wa 34yrs hv, nilikua na mahusiano na mdada mmoja ambae kwangu alikua rafiki, mshkaji na kama ndugu. Yeye ana 31yrs ana mtoto mmoja ambae baba wa mtoto ni marehemu.
Twende kwenye kisa, mahusiano haya yalikua serious kidogo na tulikua na mipango ya kukamilisha taratibu zote mwishoni mwa mwaka huu ili ndoa ifanyike.
Sasa wakuu kisa cha kunileta kwenu kupata ushauri imetokea BREAK UP YA GHAFLA SANA, jambo ambalo linaniumiza sana sina utulivu kisaikolojia.
Moyo wangu unadunda kupita kawaida, sina hamu ya kula, usingizi shida na ufanisi wangu katika kazi umepungua mno.
Kusema ukweli huyu mwanamke nilimpenda sana nae alionesha kunipenda na kunijali sana kwa namna alivyokuwa akifanya kwa muda mfupi ambao nimekua nae,
Kwanza yeye alikua anaishi kwa wazazi wake na nilikua na mazoea ya kumtembelea na ndugu zake tunafahamiana.
Alikua anatoka kazini na kuelekea kwao ama wakati mwingine anakuja kwangu, anaweza akakaa wiki zima kisha anarudi tena kwao weekend.
Sasa wiki iliyopita aliniaga juu kwa juu akiwa kazini akisema anaenda kwao ameitwa na mama yake mkubwa, nikasema sawa. Tangu jioni ile mawasiliano yakawa ya shida sana,ilikua siku ya Alhamisi. Basi nikajua Ijumaa atakuja maana kwa kipindi hiki ni mfululizo wa mwezi mzima alikua hapa kwangu. Mara Ijumaa ikapita, Jumamosi, Jumapili mpaka namwona Jumatatu.
Anakuja amebadilika yuko serious sana si kama nilivyomzoea ananiambia ana mambo ya kuongea nami mengi sana, nikasema sawa keti tuongee... Yuko busy na simu.
Nikachukua simu nikaweka pembeni. Namwambia tuongee hana cha kusema mara anaanza kukusanya nguo zake.
Vipi tena??
Anasema nataka nichukue nguo za mtoto, nikiangalia anakusanya nguo za mtoto plus kuchanganya na zake.
Basi nikatulia nijionee, akamaliza lile zoezi akaanza kuaga, nikamwambia mbona leo mapema mapema? Maana kwa kawaida hata kama amekuja na kuondoka same day huwa anaondoka jioni kabisa sasa siku hiyo nikasmell something fish.
Nikataka kuchukua simu, nione mawasiliano ya mle akawa mbishi kidogo akidai kuna msg sitaki usome humo. Msg gani akasema kuna vitu vya siri tumechat na mama. Nikamwambia its okay,text za mama mimi sisomi akaniacha.
Kuanza kusoma kuna namba ngeni imetext mara nyingi ikiita mke wng mke wng, na last text ya kwake ametuma ikisema chaji inaisha simu inazima soon!!
Daaah, nikasema huyu mwamba atakua ndie anaemrubuni.
Nikachukua namba, nikaweka kwa simu yangu. Akaaga na kutoka, sikumtoa kbs.
Nikaipiga ile namba jamaa akapokea,nikamuuliza kuhusu mhusika akajibu anamfahamu ni mtu wake kitambo na alikua nae tangu Alhamis jioni na kaacha mtoto kwake hata ule muda tunaongea ameaga anaenda Serikali za mtaa.
Basi nikamwambia nashukuru, nilitaka tu nijue hilo maana sioni busara kuanza kugombea mwanamke.
Tukaishia.
Sasa kinachoniumiza ni situation ilotokea kwa ghafla na mwanamke amenitext leo kuonesha kujutia, nikasema km ni kweli ngoja nijiridhishe aliko leo. Baada ya kutoka kazini nikachukua usafiri mpaka kwao, huku tunachat. Nimefika nikamuuliza uko wapi? Anashindwa kujibu, mara anauliza kwani umeniona wapi?
Nikajua shits goes on!!
Nimerudi zangu home nimetulia ila sipo sawa kabisa.
Wataalam wa hizi incidents nifanyeje ili nikae sawa bila kuangukia kwenye mambo ya kunidhoofisha kiakili na kiafya.

Nawasilisha.
View attachment 2496610
Move on move on bro, hao single mother ni watu wasiojielewa kabisa ilinitokea hiyo mwezi wa 9 naelewa maumivu yake but jipe moyo yatapita.. huyo mwanamke pasua kichwa yeye kila kwa mwanaume anaenda na mtoto wake
 
Unaumiza kichwa kwa kusalitiwa na malaya? Shukuru Mungu umemjua kabla haujafanya maamuzi magumu ya kumuweka ndani.

Kinachoonekana wewe umempenda sana huyo singo maza zaidi ya yeye alivyokupenda na ameshajua. Hutokuja kuacha kuona kila rangi hapo. Atakupeleka msobe msobe na utakuja na thread nyingi sana za malalamiko humu.

She is for the streets. Tafuta mwanamke wako utulie nae. Huyo hata ukija kumuoa utachapiwa sana! Hajakupenda!
 
Habari zenu wakuu.
Mwenzenu yamenikuta, naombeni msaada namna ya kucontrol hii hali.
Mimi ni kijana wa 34yrs hv, nilikua na mahusiano na mdada mmoja ambae kwangu alikua rafiki, mshkaji na kama ndugu. Yeye ana 31yrs ana mtoto mmoja ambae baba wa mtoto ni marehemu.
Twende kwenye kisa, mahusiano haya yalikua serious kidogo na tulikua na mipango ya kukamilisha taratibu zote mwishoni mwa mwaka huu ili ndoa ifanyike.
Sasa wakuu kisa cha kunileta kwenu kupata ushauri imetokea BREAK UP YA GHAFLA SANA, jambo ambalo linaniumiza sana sina utulivu kisaikolojia.
Moyo wangu unadunda kupita kawaida, sina hamu ya kula, usingizi shida na ufanisi wangu katika kazi umepungua mno.
Kusema ukweli huyu mwanamke nilimpenda sana nae alionesha kunipenda na kunijali sana kwa namna alivyokuwa akifanya kwa muda mfupi ambao nimekua nae,
Kwanza yeye alikua anaishi kwa wazazi wake na nilikua na mazoea ya kumtembelea na ndugu zake tunafahamiana.
Alikua anatoka kazini na kuelekea kwao ama wakati mwingine anakuja kwangu, anaweza akakaa wiki zima kisha anarudi tena kwao weekend.
Sasa wiki iliyopita aliniaga juu kwa juu akiwa kazini akisema anaenda kwao ameitwa na mama yake mkubwa, nikasema sawa. Tangu jioni ile mawasiliano yakawa ya shida sana,ilikua siku ya Alhamisi. Basi nikajua Ijumaa atakuja maana kwa kipindi hiki ni mfululizo wa mwezi mzima alikua hapa kwangu. Mara Ijumaa ikapita, Jumamosi, Jumapili mpaka namwona Jumatatu.
Anakuja amebadilika yuko serious sana si kama nilivyomzoea ananiambia ana mambo ya kuongea nami mengi sana, nikasema sawa keti tuongee... Yuko busy na simu.
Nikachukua simu nikaweka pembeni. Namwambia tuongee hana cha kusema mara anaanza kukusanya nguo zake.
Vipi tena??
Anasema nataka nichukue nguo za mtoto, nikiangalia anakusanya nguo za mtoto plus kuchanganya na zake.
Basi nikatulia nijionee, akamaliza lile zoezi akaanza kuaga, nikamwambia mbona leo mapema mapema? Maana kwa kawaida hata kama amekuja na kuondoka same day huwa anaondoka jioni kabisa sasa siku hiyo nikasmell something fish.
Nikataka kuchukua simu, nione mawasiliano ya mle akawa mbishi kidogo akidai kuna msg sitaki usome humo. Msg gani akasema kuna vitu vya siri tumechat na mama. Nikamwambia its okay,text za mama mimi sisomi akaniacha.
Kuanza kusoma kuna namba ngeni imetext mara nyingi ikiita mke wng mke wng, na last text ya kwake ametuma ikisema chaji inaisha simu inazima soon!!
Daaah, nikasema huyu mwamba atakua ndie anaemrubuni.
Nikachukua namba, nikaweka kwa simu yangu. Akaaga na kutoka, sikumtoa kbs.
Nikaipiga ile namba jamaa akapokea,nikamuuliza kuhusu mhusika akajibu anamfahamu ni mtu wake kitambo na alikua nae tangu Alhamis jioni na kaacha mtoto kwake hata ule muda tunaongea ameaga anaenda Serikali za mtaa.
Basi nikamwambia nashukuru, nilitaka tu nijue hilo maana sioni busara kuanza kugombea mwanamke.
Tukaishia.
Sasa kinachoniumiza ni situation ilotokea kwa ghafla na mwanamke amenitext leo kuonesha kujutia, nikasema km ni kweli ngoja nijiridhishe aliko leo. Baada ya kutoka kazini nikachukua usafiri mpaka kwao, huku tunachat. Nimefika nikamuuliza uko wapi? Anashindwa kujibu, mara anauliza kwani umeniona wapi?
Nikajua shits goes on!!
Nimerudi zangu home nimetulia ila sipo sawa kabisa.
Wataalam wa hizi incidents nifanyeje ili nikae sawa bila kuangukia kwenye mambo ya kunidhoofisha kiakili na kiafya.

Nawasilisha.
emoji33.png
emoji27.png

Mapenzi ni kitu cha hiari, na kitu cha hiari hakitakiwi kukuumiza
 
Mwanaume ukianza kulialia kisa mapenzi tunakuangalia kwa jicho tofauti use logic bro
 
Back
Top Bottom