Hakuna kitu kinachoitwa Gold mshenzi!Hiyo inaitwa pyrite (foolish gold),ila inapopatikana hiyo huwa kuna uwezekano mkubwa wa kuwepo na dhahabu,chuma etc
Dhahabu mshenzi means sio dhahabu halisi! Labda kwa muktadha huo!Hiyo inaitwa pyrite (foolish gold),ila inapopatikana hiyo huwa kuna uwezekano mkubwa wa kuwepo na dhahabu,chuma etc
Ila akumbuke haraka haraka kuhamisha hiyo ardhi ya chini maana inasemekana ardhi ya juu ni mali yake lakin y chini si mali yakeArdhi yako Ina uwezekano wa kuwa na gold.
Kama ni ivyo ishakua sio yake tenaArdhi yako Ina uwezekano wa kuwa na gold.
hiyo itakuwa mari ya selikariArdhi yako Ina uwezekano wa kuwa na gold.
Kwa njaa nliyonayo hapo nlivoviokota ivo... baada ya nusu saa watu wangeniuliza ilo shimo la choo unachimbaje huku shambani... ningekua mita 16 chini siwaskii... Pangeeleweka siku hiyo hiyo kama kuna Gold au la..!!!

Mkuu chalcopyrite ndiyo fool's gold!Hiyo inaitwa pyrite (foolish gold),ila inapopatikana hiyo huwa kuna uwezekano mkubwa wa kuwepo na dhahabu,chuma etc
Kuna anomalies mkuu...kumbuka hilo!Hahahaaaaa kwa asilimia kubwa dhahabu ina mkondo akikutajia eneo ni rahisi ku predict possibility yake ya kua dhahabu..
Wapo ambao uwa wazitumia tu kama ornaments lakini value yake sio ya kutisha kivile.ok kwa hyo mkuu haina issue yoyote hii kitu maana nilikuwa nalima nikaipata
Itakuwa sio yake tena! Mali ya serikaliArdhi yako Ina uwezekano wa kuwa na gold.
Mkuu hayo ni madini ya ulanga, maeneo ya mzumbe na ukiwa unaenda sehemu mongwe katika peak ya safu za milima uluguru hayo mawe yapo mengi sana, anyway fuatilia vizuri kama itakuwa ni dhahabu niambie ili nipeleke tipa nikayazoe tuWakuu habari ya jumapili,jana katika pilika zangu za kilimo nikakutana na hivi vipande vya vimawe vinatoa mg'ao je ni dhahabu au kitu gani kwa anaejua msaa pleaseView attachment 518895View attachment 518896
hahahahaa mkuu ngoja nikayapime kwanza ili nijue