Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,734
- 3,647
Mwa wa pakayahahahahaa mkuu ngoja nikayapime kwanza ili nijue
tugawane mlongi wangu!!
Mwa wa pakayahahahahaa mkuu ngoja nikayapime kwanza ili nijue
Siku wakishituka wanakuchua na vielelezo kama sururu na dhahabu gunia lote hapo ndio bas humu jf tutakuwavtunakumbuka post zako tu.ntachimba kimyakimya mpaka kieleweke mkuu hadi waje wagundue ntakuwa nimejaza gunia ndani
Kwa njaa nliyonayo hapo nlivoviokota ivo... baada ya nusu saa watu wangeniuliza ilo shimo la choo unachimbaje huku shambani... ningekua mita 16 chini siwaskii... Pangeeleweka siku hiyo hiyo kama kuna Gold au la..!!!

Kisayansi ni IRON SULPHIDE. Ina Iron na Sulphur kama kwenye makinikia. Inaambatana saana na dhahabu ila sio lazima. Ndiyo maana kwenye makinikia pia IMO.Hiyo inaitwa pyrite (foolish gold),ila inapopatikana hiyo huwa kuna uwezekano mkubwa wa kuwepo na dhahabu,chuma etc
Uwezekano wa kiwa dhahabu NI MDOGOnipo ifakara mkuu

Sio yke ikiwa na madini ni ya serikalArdhi yako Ina uwezekano wa kuwa na gold.
Fanya kazi, utajiri haupatikani kirahisi hivyo mkuu..Wakuu habari ya jumapili,jana katika pilika zangu za kilimo nikakutana na hivi vipande vya vimawe vinatoa mg'ao je ni dhahabu au kitu gani kwa anaejua msaa pleaseView attachment 518895View attachment 518896