Hizo zinaitwa Golden shining au mavi ya dhahabu mng'ao!!Wakuu habari ya jumapili,jana katika pilika zangu za kilimo nikakutana na hivi vipande vya vimawe vinatoa mg'ao je ni dhahabu au kitu gani kwa anaejua msaa pleaseView attachment 518895View attachment 518896
Kuna mama mkanada aliwahi kuwa anazinunua wakati Fulani, so yes zina inshuok kwa hyo mkuu haina issue yoyote hii kitu maana nilikuwa nalima nikaipata
PELEKA DODOMA MAABARA YA MADINI YA SERIKALImkuu hii kitu nilichimba mwenyewe wakati nalima wala sijainunua kokote
Ardhi yote ni mali ya serikaliIla akumbuke haraka haraka kuhamisha hiyo ardhi ya chini maana inasemekana ardhi ya juu ni mali yake lakin y chini si mali yake
nipo ifakara mkuu