Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,233
- 79,765
Jamaaa alijifanya lily Wayne huyo😂😁😁😁Hamna namna, watu wanajitiaga ujuaji usio kuwa na maana 😄😁
Jamaaa alijifanya lily Wayne huyo😂😁😁😁Hamna namna, watu wanajitiaga ujuaji usio kuwa na maana 😄😁
Kwa Kweli mdg wako huyo mlimlea kimandazi Sana ona gharama yake SasaHabari wana JamiiForums samahanini nina ndugu yangu amebahatika kwenda jeshini lakini ana tattoo ya jina mkononi, anashinda ndani analia hajui aiondoe vipi maana akijichoma na pasi wanasema makovu hawataki.
Anahitaji msaada afanyaje ni kitu alichokipigania sasa amebahatika ndo iko hivo msaada nini afanye