Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,452
- 203,047
Itakuwa order imetoa jina lake, reporting time bado.Sasa Yuko jeshini tayar kwahiyo huko aliingiaje
Itakuwa order imetoa jina lake, reporting time bado.Sasa Yuko jeshini tayar kwahiyo huko aliingiaje
Ndo kabahatika hivooKwani Lazima aende jeshini ? alishaona tatoo ni ya muhimu maishani kwake aimaintain hivo hivo
Apana hayuko jeshini badoItakuwa order imetoa jina lake, reporting time bado.
Apan jina lake tu anithaAliandika ailavyuu mamuu na kopa kubwaaa
Tattoo zinaweza kuondolewa na wataalam lakini inategemea alizichora kwa kutumia nini? Je, alichora kwa wataalam wa kuchora kwa kutumia wino au ilikuwaje? Kwa Bongo sijui kama kuna watu wenye utaalam wa kuondoa lakini majuu zinaweza kuondolewa kwa kutimia laser japo inaweza isifutike kabisa. Kama ni tattoo ndogo dr anaweza kufanya surgery kwa kukata hiyo ngozi na kushona iliyobaki. All in all, tusipende kuiga vitu bila kujua madhara yake hasa kwa nchi kama zetu.Habari wana jamii forum samahanini nina ndugu yangu amebahatika kwenda jeshini lakini.ana tatoo ya jina mkononi anashinda ndani analia hajui aiondoe vipi maana akijichoma.na Pasi wanasema.makovu hawataki anahitaji msaada afanyaje ni kitu alichokipigania sasa amebahatika ndo iko hivo msaada.jamani nini afanye
Anatumia jina ganiNenda insta, account ya bwana ake Amber Rutty, anafuta tattoos na chale, wengi wamefanikiwa, nikiwepo mimi.
Nenda usipuuze.
Ndio alichora kwa wwinoTattoo zinaweza kuondolewa na wataalam lakini inategemea alizichora kwa kutumia nini? Je, alichora kwa wataalam wa kuchora kwa kutumia wino au ilikuwaje? Kwa Bongo sijui kama kuna watu wenye utaalam wa kuondoa lakini majuu zinaweza kuondolewa kwa kutimia laser japo inaweza isifutike kabisa. Kama ni tattoo ndogo dr anaweza kufanya surgery kwa kukata hiyo ngozi na kushona iliyobaki. All in all, tusipende kuiga vitu bila kujua madhara yake hasa kwa nchi kama zetu.
Ngoja nikamtafute.Anatumia jina gani
Zipodawa za kufuta makovu mwambie awatembelee watu wa dawa za asili wanaotibu ngozi huwa wanachanganya na vitu gani sijui kovu linpotea kabisa kama halina muda mrefu. dawa zingine zinaweza kuondoa makovu ya muda mrefu ilaatatumia hata miezi 9 unaitumia tu mwisho inafutika kabisa asiwe na haraka. ajiandae na gharama tu, kuna jamaa yyeye enzi za ujana alitoga masikio lakini waliyaziba kwa hizo dawa jama yuko jeshi kwasasaHabari wana jamii forum samahanini nina ndugu yangu amebahatika kwenda jeshini lakini.ana tatoo ya jina mkononi anashinda ndani analia hajui aiondoe vipi maana akijichoma.na Pasi wanasema.makovu hawataki anahitaji msaada afanyaje ni kitu alichokipigania sasa amebahatika ndo iko hivo msaada.jamani nini afanye
Order kutoka wapi? Na hilo jina lake jeshi imelipataje? Ninachojua kabla ya hata ya kuitwa jeshini lazima Kuna mchakato uwe umepitia sasa yy kafikaje hatua ya kuitwa bila kupitia huo mchakato? Naomba kufahamishwa.Itakuwa order imetoa jina lake, reporting time bado.
Huyo ni mhuni, jeshi haliajiri wahuni bali hupambana na wahuni. Kijana mdogo huyo ameshajichora tatoo unasubiri nini. Siyo jeshini tu ajirq yoyote genuine hawezi pata labda wasioneHabari wana jamii forum samahanini nina ndugu yangu amebahatika kwenda jeshini lakini.ana tatoo ya jina mkononi anashinda ndani analia hajui aiondoe vipi maana akijichoma.na Pasi wanasema.makovu hawataki anahitaji msaada afanyaje ni kitu alichokipigania sasa amebahatika ndo iko hivo msaada.jamani nini afanye
Basi na hiyo tattoo ibaki kuwa Siri yakeMkononi upande usawa wa kiwiko
mengini ni siri yake
Aendelee kulia tu labda itafutika.....
Ask OPOrder kutoka wapi? Na hilo jina lake jeshi imelipataje? Ninachojua kabla ya hata ya kuitwa jeshini lazima Kuna mchakato uwe umepitia sasa yy kafikaje hatua ya kuitwa bila kupitia huo mchakato? Naomba kufahamishwa.
dawazakufutamakovu hua ni za muda mrefu miezi mitatu na kuendelea hata mwaka, yeye anatumia tu mwisho huwa inafutika unaweza kuona mwanzo inafanyakazi kisha ikaacha sasaunatakiwa kuendelea kutumia tu hatamiezi 8 inafutika.tafuta wanaotibungozi kwa dawa zamitishambaMkononi upande usawa wa kiwiko
mengini
fuh kam.ni mda.mrefu na inatakawi aende
Wasione nini ndo maana anaomba msaada
HujaelewakaAsk OP