Msaada wa kisaikolojia unahitajika haraka

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,885
2,000
Ndio kakwambia hivyo?

Bashiru kateuliwa ubunge na huyo huyo Samia, kwanini uanze kusema hana imani nae?
Imewahi kuwa mtumishi wa umma wewe? Au umeishia uhudumu wa ofisi?
Unajua madhara ya kumnyang'anya madaraka mtu aliyekuwa Katibu mkuu wa chama tawala na pia CS na kumuacha tuu?
Kama hilo huwezi kulijua basi kaa kimya
 
Mightier

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
5,754
2,000
Binadamu yeyote anapoonyesha kuwa katika msongo wa mawazo anahitaji kupewa msaada wa kisaikolojia haraka kabla hali haijawa mbaya.

Huyu mheshimiwa asaidiwe na wale aliokuwa akiwahudumia kama KM maana wamemtosa hata kum address kama KM mstaafu hawataki.

Kauli yake ya " Ili ubaki na dola tumia dola kubaki na dola" naona kwake mwenyewe imeshindikana.

Nimepewa taarifa toka mjengoni kuwa jamaa anahitaji uangalizi na ushauri.

Asaidiwe!
Msaada wa Kisaikolojia ambao tunaweza kumpa ni Kumwomba tu Israeli nae afanye kile kile alichokifanya na kutufurahisha Watanzania wengi Kwake.
 
Mkumbwa Jr

JF-Expert Member
Mar 23, 2016
1,485
2,000
Jela inamsubiri. Alimwambia mama "Tanzania kwa sasa haijawa tayari kuwa na rais mwanamke, unaonaje ukijiuzulu"

Baada ya kuapishwa mama akamjibu "aliyesimama hapa ni Rais mwenye jinsia ya kike".

USHAURI WANGU: Aende Ikulu na waandishi wa habari akaombe msamaha kama Nape kwa Magofool.

View attachment 1759343
Duh kweli maisha yamepambwa na panda shuka kibao.
Wanawashauri wenzao kutumia dola ili wabaki kufanya yao halafu wao dola haiwasaidii.
Mungu ni fundi
 
IDEGENDA

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
4,105
2,000
Imewahi kuwa mtumishi wa umma wewe? Au umeishia uhudumu wa ofisi?
Unajua madhara ya kumnyang'anya madaraka mtu aliyekuwa Katibu mkuu wa chama tawala na pia CS na kumuacha tuu?
Kama hilo huwezi kulijua basi kaa kimya
Kwani hiyo nafasi aliiomba? Si aliteuliwa tu?

Kwani hicho cheo alijihakikishia kama ni cha milele?

Kwa hiyo wabunge wenu waliopigwa chini wanastress?
 
IDEGENDA

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
4,105
2,000
Unanijua? Au kulingana na maisha yako unadhani wenzako wote members wa JF ni masikini?
Pole sana. Kwako milioni 11 unadhani ni kitu kuliko madaraka? Umasikini ni kitu kibaya sana na utakufanya uendelee kuwa mtumwa
Wewe ni masikini tu tena ukute unaishi kwa shemeji yako!

Ungekuwa unalingana kihadhi au kwa hela na bashiru usingekuwa unapiga porojo humu
 
Awuot

JF-Expert Member
Nov 10, 2018
1,169
2,000
Binadamu yeyote anapoonyesha kuwa katika msongo wa mawazo anahitaji kupewa msaada wa kisaikolojia haraka kabla hali haijawa mbaya.

Huyu mheshimiwa asaidiwe na wale aliokuwa akiwahudumia kama KM maana wamemtosa hata kum address kama KM mstaafu hawataki.

Kauli yake ya " Ili ubaki na dola tumia dola kubaki na dola" naona kwake mwenyewe imeshindikana.

Nimepewa taarifa toka mjengoni kuwa jamaa anahitaji uangalizi na ushauri.

Asaidiwe!
Muache tu hana mawazo amechukua nafasi ya Chadema kudeka, alisema chadema wanadeka. Sasa zamu yake kudeka
 
Dumas the terrible

JF-Expert Member
Jan 20, 2021
1,770
2,000
Jela inamsubiri. Alimwambia mama "Tanzania kwa sasa haijawa tayari kuwa na rais mwanamke, unaonaje ukijiuzulu"

Baada ya kuapishwa mama akamjibu "aliyesimama hapa ni Rais mwenye jinsia ya kike".

USHAURI WANGU: Aende Ikulu na waandishi wa habari akaombe msamaha kama Nape kwa Magofool.

View attachment 1759343
😂😂😂😂😂😂😂😂👹💃
Watu mna vituko humu aisee kumbe ndio yeye bwana kakurwa aliyesema vile?
 
mjombakim

JF-Expert Member
Sep 10, 2017
1,186
2,000
Bashiru atakuwa mjinga ikiwa ana mawazo ya kuachwa kwenye ukatibu mkuu KIONGOZI.
yaani umekaa Tu hapo mijihera inaingia Tu alafu uwe na mawazo?
Pesa sio tatizo tatizo nafsi haijakaa sawa kwa matendo yeke pengine
 
BekaNurdin

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
2,243
2,000
Watanzania aina ya mleta mada ni wajinga sana jamani!

Mwenzio hapo anaondoka na milioni 11 per month nje ya marupu rupu mengine.

Ila wewe unaedemka hapa jf huku ukipiga miayo eti unataka umshauri kisaikolojia?

Akili au matope?
Na haina makato yoyote e.g. PAYE, n.k.
 
mtaa umetulea

JF-Expert Member
Nov 17, 2020
1,700
2,000
Lakn mambo mengine yanasikitisha sana uongoz mtamu sana kama mm ninavyo injoy kuiongoza familia yangu kila kitu mm ndio mweny kaul ya mwisho huwa nainyoy sana
 
kalonji

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
6,333
2,000
Huyo na polepole walikuwa ni madalali wa kununua wapinzani anavuna alichopanda.Sisi tulifunga na kumuomba Mungu awaaaibishe wote wale waliovuruga uchaguzi mkuu hakika ametenda tumeuona ukuu wake baada ya kuanza na baba lao gwiji la kuvuruga chaguzi.
 
kalonji

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
6,333
2,000
Huyu ni dikteta hatari Sana zaidi ya mwendazake, ndoto zake za kuwa dereva zimezima ghafla baada ya kusikia maombi yetu.
 
Ndebile

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
6,484
2,000
Ataendelea kuteseka sana na bado hadi akonde kama msumari
Macho huona kile anachowaza mtazamaji...mfano wakati watu wanakupongeza kwa kuoa mke mzuri wewe mawazo yako unaona kama "watakupindua" na kukuchukulia mke kwasababu ndio ilikuwa tabia yako, ubaya uliopo kwenye matendo yako ya zamani unafanya macho yako yaone kila mtu mbele yako ni mbaya au anataka kukufanyia ubaya....! Ulimuona BAshiru katika mwili tofauti na huu?
Watu kama Bashiru wamebaki wachache sana CCM na TAnzania kwa ujumla!
 
mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
29,720
2,000
Pesa sio tatizo kwake au kwako?.
Ningemuona Bashir amefeli kama angetolewa moja Kwa moja na kuwa jobless.
Ila MTU kapelekwa bungeni mizigo inaingia Tu
Bado atalipwa na pensheni.SIJUIII
Pesa sio tatizo tatizo nafsi haijakaa sawa kwa matendo yeke pengine
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom