Msaada wa haraka wa namna ya kutumia choo cha kukaa

Msaada wa haraka wa namna ya kutumia choo cha kukaa

Wakuu kwema?

Nina Jambo langu hapa! Nimekuwa nikitembelea maeneo tofauti ya ndani na nje ya nchi. Sasa kwenye suala la choo nimekuwa nikitumia vyenye sink la kuchuchumaa but enzi hizo huko bush ilikuwa Ni vile vya kulenga au unaingia zako pori.

Tangu jana usiku nipo hapa Geita na hotel niliyofikia wanachoo cha kukaa nasijawahi kutumia ingawa nimekuwa naviona. Naomba mwenyewe uelewa atoe muongozo!
Tumia rambo kushushia mzigo, ukimaliza chukua jembe ukaufukie ardhini mbele ya hoteli. Itakuwa imeisha hiyo. Swali la kindezi ulilouliza.
 
Ahsante mkuu, Sasa wakati nabonyeza hiki kitufe umesema mfuniko huu niufunike au uwe wazi. Maana Kuna mwaka choo Cha kuchuchumaa kilimfedhehesha jamaa mmoja kwa kumloanisha suruali yake yote halafu alikuwa mwenyekiti na kikao kinaendelea[emoji23]
Mkuu ulikuwa unauliza kwa kutaka kuelewa kweli au ni changamsha forum tu?

Ulishasikia nyoka anafundishwa kuuma, au kijana akisha balekhe ama kuvunja ungo kuna chuo wanapelekwa kufundishwa kunanilii?

Mambo mengine nafsi huyaelewa huku ikiyatumia bila kuuliza wala kuelimishwa.

Enhe, tuseme umejifunza na kuelewa matumizi sahihi ya hicho choo kwa kupitia comments za wajamii?

Ninadhani kama uliweza kukitumia, sasa utaenda kutindua hicho cha asian ulichozoea kutumia miaka nenda rudi na kupachika hicho uropean?

Maana ukishaonja matumizi ya iko choo na kinavyostarehesha hautaacha milele, ni sawa na kula nyama ya mtu, ukinogewa na ladha iliyomo hauwezi kuacha kamwe!
 
Wakuu kwema?

Nina Jambo langu hapa! Nimekuwa nikitembelea maeneo tofauti ya ndani na nje ya nchi. Sasa kwenye suala la choo nimekuwa nikitumia vyenye sink la kuchuchumaa but enzi hizo huko bush ilikuwa Ni vile vya kulenga au unaingia zako pori.

Tangu jana usiku nipo hapa Geita na hotel niliyofikia wanachoo cha kukaa nasijawahi kutumia ingawa nimekuwa naviona. Naomba mwenyewe uelewa atoe muongozo!
Mashikolo mageni........kayoooooo
 
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji2][emoji1][emoji28]
 
hivi unapojisaidia choo cha kukalia tena cha shea, huwa mnafanyaje yale maji machafu ya tundu la choo yasiwarukie?
We mshamba wa wapi aisee...

Tumia Tissue paper, unazitanguliza kwenye sink, maji hayaruki.

Pia sink kabla ya kukaa tandaza Tissue paper.
 
Panda hapo juu, yaani kanyaga miguu hapo juu ya sink.
 
Wakuu kwema?

Nina Jambo langu hapa! Nimekuwa nikitembelea maeneo tofauti ya ndani na nje ya nchi. Sasa kwenye suala la choo nimekuwa nikitumia vyenye sink la kuchuchumaa but enzi hizo huko bush ilikuwa Ni vile vya kulenga au unaingia zako pori.

Tangu jana usiku nipo hapa Geita na hotel niliyofikia wanachoo cha kukaa nasijawahi kutumia ingawa nimekuwa naviona. Naomba mwenyewe uelewa atoe muongozo!
kwani hauoni sehemu ya kukanyaga hapo juu? panda hapo juu na mabuti yako shuka kim.ba tembea zako, case closed!

au una swali jingine?
 
We mshamba wa wapi aisee...

Tumia Tissue paper, unazitanguliza kwenye sink, maji hayaruki.

Pia sink kabla ya kukaa tandaza Tissue paper.
Kivipi Yani tissue unazidumbukiza ndani ya sink pale kwenye tobo la sink lenye maji machafu au?
 
Umekua ukitembelea maeneo tofauti ya ndan na "nje ya nchi" na still hujawahi kutumia choo cha kukaa?

Ni wapi huko "nje ya nchi", ama unaishiaga Congo Bukavu na Kibera Kenya!
Inchi za wafaransa vyoo NI vya kukaa hta vya public nilipata tab Burundi na goma wee acha tu nikipata kichaka na jembe usiku nainjoii8ii
 
Back
Top Bottom