Msaada wa haraka wa namna ya kutumia choo cha kukaa

bush crazy

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
684
1,000
Wakuu kwema?

Nina Jambo langu hapa! Nimekuwa nikitembelea maeneo tofauti ya ndani na nje ya nchi. Sasa kwenye suala la choo nimekuwa nikitumia vyenye sink la kuchuchumaa but enzi hizo huko bush ilikuwa Ni vile vya kulenga au unaingia zako pori.

Tangu jana usiku nipo hapa Geita na hotel niliyofikia wanachoo cha kukaa nasijawahi kutumia ingawa nimekuwa naviona. Naomba mwenyewe uelewa atoe muongozo!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom