Msaada wa haraka wa namna ya kutumia choo cha kukaa

bush crazy

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
684
1,000
Wewe pupu haijakubana vya kutosha, ingekuwa imekukamata sawasawa haya maswali tungeulizwa wakati ushaharibu!!!
Kitu kilivyo nibana Jana nilimdanganya jamaa yangu kuwa choo changu maji yanasumbua hivyo nikatumia chake kwani Ni Cha kuchuchumaa!
 

Mbwa dume

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
4,090
2,000
Wakuu kwema?
Nina Jambo langu hapa!! Nimekuwa nikitembelea maeneo tofauti ya ndani na nje ya nchi. Sasa kwenye suala la choo nimekuwa nikitumia vyenye sink la kuchuchumaa but enzi hizo huko bush ilikuwa Ni vile vya kulenga au unaingia zako pori.

Tangu Jana usiku nipo hapa Geita na hotel niliyofikia wanachoo Cha kukaa nasijawahi kutumia ingawa nimekuwa naviona. Naomba mwenyewe uelewa atoe muongozo!!
Mie huwa napandaga kwa juu ndio nakunya au nikiona kuna ndoo humo chooni basi nakunya kwenye ndoo Kisha namwagia mavi chooni
 

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
33,008
2,000
Huu Ukorofi Utaacha Lini Mleta Thread?
Hapo Chettle JPM Angekuwa Yupo Angesema Unamzaba Makofi Mpaka AjinyeeKwahiyo Umekuja JF Unataka Tukujibu Kama Wale Jamaa Wa Kimara Walipoambiwa Bakini Na M*v* Yenu
Mwisho Kabisa Tumia Mbinu Ya Mnyama Fungo Chomeka Karatasi Tembea Mpaka Upate Njia Panda.
 

Mbwa dume

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
4,090
2,000
Ahsante mkuu, Sasa wakati nabonyeza hiki kitufe umesema mfuniko huu niufunike au uwe wazi. Maana Kuna mwaka choo Cha kuchuchumaa kilimfedhehesha jamaa mmoja kwa kumloanisha suruali yake yote halafu alikuwa mwenyekiti na kikao kinaendelea
Mr Bean
 

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
8,570
2,000
First rule of public toilets… vingine mbwembwe ata ukichuchumaa kama squatt..
19F5DF72-5072-43EA-B698-7A6F91AF8760.jpeg
 

mkupuo

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,489
2,000
Yani watu wa JF ni hatari.Dume zima linaanzisha uzi wa kunya kunya halafu na sisi membas tunachangia uzi. Huu uzi ulistahili kubandikwa kwenye jukwaa la Utani/Udaku. Halafu wewe mleta uzi utakapobanwa na Uharo huko mbeleni leta tena uzi humu kabla ya kupuu ili wanajamvi wakuelimishe kwanza namna ya kutumia choo.
 

NIMEONA

JF-Expert Member
Aug 4, 2019
1,984
2,000
hivyo vyoo mi vimenishinda kabisa, kwenda kuweka makalio alipotoka kuweka makalio yake mtu mwingine nimeshindwa kabisa......yaani sijui najisikiaje!
 

bush crazy

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
684
1,000
Yani watu wa JF ni hatari.Dume zima linaanzisha uzi wa kunya kunya halafu na sisi membas tunachangia uzi. Huu uzi ulistahili kubandikwa kwenye jukwaa la Utani/Udaku. Halafu wewe mleta uzi utakapobanwa na Uharo huko mbeleni leta tena uzi humu kabla ya kupuu ili wanajamvi wakuelimishe kwanza namna ya kutumia choo.
Kumbe ndivyo ulivyo! Barikiwa sana mkuu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom