Msaada wa haraka wa namna ya kutumia choo cha kukaa

Msaada wa haraka wa namna ya kutumia choo cha kukaa

shida nini we msukuma, huoni tundu au sehemu ya kuweka mzigo ama huoni pa kubonyeza maji ili kuflash? funua mfuniko huo kaa hapo juu unashusha shaft huku unachati tu ukishindwa kanye kwenye migomba huko pori
Ahsante mkuu, Sasa wakati nabonyeza hiki kitufe umesema mfuniko huu niufunike au uwe wazi. Maana Kuna mwaka choo Cha kuchuchumaa kilimfedhehesha jamaa mmoja kwa kumloanisha suruali yake yote halafu alikuwa mwenyekiti na kikao kinaendelea[emoji23]
 
Weka tishu chini jisaidie ktk tishu alafu itumbukize ktk tundu la choo
Tishu zenyewe hakuna humu ndani, nakujisafisha sijui itakuwaje maana kuwauliza vijana wangu nilioongozana nao Ni aibu[emoji87]
 
Hii Kama nimeielewa, maana kupanda juu ya sink mbona hakuna vikanyagio?
La unanikumbusha shuleni A level...kulikuwa na kioja .Kuna mtu aliku2a anapanda juu ya choo anamaliza...wenhine tukienda lazima tufute matope ya miguu yake!
Tukaweka Mkakati was.kumjua ...ikawa waliohisiwa akiinhiantu bafuni ....watu wanachunhulia kwa chini ,Kama.Miguu inaonekana😂😂😂😂
Baada tukambaini !
Ila tukaja baini jamaa alikuwa anafanya hivyo kwa sababu za kidini🤫🤫🤫
 
Usisahau kuflash
Screenshot_2021-10-14-07-54-25-883_com.android.chrome.jpg
 
Wakuu kwema?
Nina Jambo langu hapa!! Nimekuwa nikitembelea maeneo tofauti ya ndani na nje ya nchi. Sasa kwenye suala la choo nimekuwa nikitumia vyenye sink la kuchuchumaa but enzi hizo huko bush ilikuwa Ni vile vya kulenga au unaingia zako pori.

Tangu Jana usiku nipo hapa Geita na hotel niliyofikia wanachoo Cha kukaa nasijawahi kutumia ingawa nimekuwa naviona. Naomba mwenyewe uelewa atoe muongozo!!
images%20(46).jpg


Hivi ndio mtu anatakiwa kutumia choo cha kukaa.

Vyoo vingi Bongo havina sehemu ya kuweka miguu hivyo haviwezi kukupa sitting posture kama hiyo.
 
Ila Jf bana usishangae siku sio nyingi mungine akaja na uzi wa namna ya kuogea bomba la mvua sababu alishazowea kuogea ndoo na kopo huku akiwa kijijini alikuwa anaogea mtoni. 😀
😂😂😂😂
 
Wewe pupu haijakubana vya kutosha, ingekuwa imekukamata sawasawa haya maswali tungeulizwa wakati ushaharibu!!! 😂😂😂
 
Back
Top Bottom