kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,418
- 22,997
Pia stendi ya magufuli mbezi waweza kulala na hutasumbuliwa na TV ipo
Mwaka 99 navyoingia dar sikutaka undugu na mtu ukaka Wala umjomba , stendi ubungo yalikuwa maisha yangu mwezi mzima