Msaada wa haraka unahitajika: nahitaji mahali pa kufikia Dar

D-RICH

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2022
Posts
209
Reaction score
302
Habari wakuu! Mm ni kijana mwenzenu Mtanzania halisi.Nimekuwa na changamoto ya kiafya muda mrefu kidogo .Kwa sasa niko kanda ya ziwa natakiwa kuja dar this month kwa ajili ya matibabu.Kwa bahati mbaya sina sehemu ya kufikia huko,nahitaji nipate ata kama kuna jumba ( pagale) ambalo linahitaji mtu wa kuangalia nijistili kwa muda tu.Siwezi kukaa kwa mtu as kutokana na hali yangu kiafya nitakuwa kero. Asanteni
 
Jaribu kucheki ofisi za sisiem zilizo karibu nawe
 
Habari wakuu! Mm ni kijana mwenzenu Mtanzania halisi.Nimekuwa na changamoto ya kiafya muda mrefu kidogo .Kwa sasa niko kanda ya ziwa natakiwa kuja dar this month kwa ajili ya matibabu.Kwa bahati mbaya sina sehemu ya kufikia huko,nahitaji nipate ata kama kuna jumba ( pagale) ambalo linahitaji mtu wa kuangalia nijistili kwa muda tu.Siwezi kukaa kwa mtu as kutokana na hali yangu kiafya nitakuwa kero. Asanteni

Pole sana kaka.
Matibabu kuja dar ni referal?.
Una bima?.
Umesema kuna mtu anahitaj kukuangalia. Ina maana ukiwa kwa pagala utakuwa na mtu?.
Ina maana ni watu wawili. Je ni mke?.

Huwez kukaa kwa mtu kwasababu ni kero. Je ukikaa wodini itakuwa ni kero?.
Gharama ya matibabu ni sh ngap?.

Mm nashauri tafuta referal. Uombe msaada wa gharama ya kukutibu kwa ndugu jamaa na marafiki ukiwa na Vivid na valid reasons.
 
Habari wakuu! Mm ni kijana mwenzenu Mtanzania halisi.Nimekuwa na changamoto ya kiafya muda mrefu kidogo .Kwa sasa niko kanda ya ziwa natakiwa kuja dar this month kwa ajili ya matibabu.Kwa bahati mbaya sina sehemu ya kufikia huko,nahitaji nipate ata kama kuna jumba ( pagale) ambalo linahitaji mtu wa kuangalia nijistili kwa muda tu.Siwezi kukaa kwa mtu as kutokana na hali yangu kiafya nitakuwa kero. Asanteni
kwanini uje dar wakati mwanza kuna hospitali kubwa bugando,kwanini usitibiwe huko
 
Pole sana kaka.
Matibabu kuja dar ni referal?.
Una bima?.
Umesema kuna mtu anahitaj kukuangalia. Ina maana ukiwa kwa pagala utakuwa na mtu?.
Ina maana ni watu wawili. Je ni mke?.

Huwez kukaa kwa mtu kwasababu ni kero. Je ukikaa wodini itakuwa ni kero?.
Gharama ya matibabu ni sh ngap?.

Mm nashauri tafuta referal. Uombe msaada wa gharama ya kukutibu kwa ndugu jamaa na marafiki ukiwa na Vivid na valid reason
 
Habari wakuu! Mm ni kijana mwenzenu Mtanzania halisi.Nimekuwa na changamoto ya kiafya muda mrefu kidogo .Kwa sasa niko kanda ya ziwa natakiwa kuja dar this month kwa ajili ya matibabu.Kwa bahati mbaya sina sehemu ya kufikia huko,nahitaji nipate ata kama kuna jumba ( pagale) ambalo linahitaji mtu wa kuangalia nijistili kwa muda tu.Siwezi kukaa kwa mtu as kutokana na hali yangu kiafya nitakuwa kero. Asanteni
Pole sana ila badili hiyo ID kingine kuwa makini vya bure gharama hasa huku mjini.
 
Back
Top Bottom