Msaada wa dawa ya matibabu ya upele wa ndevu

baraker88

baraker88

Member
Joined
Feb 26, 2014
Messages
80
Points
125
baraker88

baraker88

Member
Joined Feb 26, 2014
80 125
Pole sana kiongozi kwanza napenda nikush unauri kabla ya kupata tiba kwanza tafuta kujua sababu ya wewe kutoka vipele. Usikimbilie kutibu vipele.

Hilo tatizo ni common Sana kwa watu wengi, lakini wengi huwa wanakimbilia madawa na wanashindwa,

Nakushauri kwanza tatizo hili husababishwa na friction ya mashine unazotumia wakati wa ku shavu. Unakuta mtu anakwanguliwa na mashine ilikutoa nywele zote,

Jaribu njia hii kuzuia

1. Tafuta salon moja utakayokuwa unaenda kushavu
2. Hakikisha unaponyoa ndevu usizitoe zote na kinyozi asiku kwangue ngozi akunyoe juu juu tu.
3. Hakikisha mashine anayotumia ni safi kama utapata ya kwako kwaajili ya ndevu itapendeza.
4.osha kidevu chako kwa maji ya uvuguvugu baada ya kunyoa.
5.kunywa maji ya kutosha

NB
Kwa sasa kwakuwa ngozi imeharibika acha kwa muda wa mwezi 1 usinyoe ndevu, ngozi itarudi kwenye hali yake.
 
rwechunguraa

rwechunguraa

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2018
Messages
1,472
Points
2,000
rwechunguraa

rwechunguraa

JF-Expert Member
Joined May 30, 2018
1,472 2,000
Ukitumia kvant mkuu yataisha yote
 
M

Mzalendo_Mkweli

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2012
Messages
1,096
Points
1,500
M

Mzalendo_Mkweli

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2012
1,096 1,500
Unaweza kuwa unyoa kwa Shaving Magic alau Mara moja kwa wiki. Hii kitu imewasaidia baadhi ys watu ninao wafahamu na Mimi nikiwa ni mmojawapo.

Ahsante
 
Kingsmann

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Messages
1,134
Points
2,000
Kingsmann

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2018
1,134 2,000
Wewe ndio kwanza umeota ndevu na ulichojichanganya ulianza kuzinyoa kwa hizi nyembe za kawaida.

Sasa fanya yafuatayo and thank me later:

1. Punguza kunyoa mara kwa mara. Nyoa at most 2x kwa mwezi, if possible 1x only.

2. Acha kunyoa kwa nyembe za kawaida, kanyoe saloon. HATA KAMA UNA MSHINE YA UMEME KWAKO DONT USE IT, NENDA KANYOE SALOON.

3. Usitumie dawa yoyote kwani utazid kuongeza tatizo.

4. Acha kuviwaza hivo vipele. Najua zinakutesa sana kisaikolojia hizo ndevu, ukichanganya na hayo mapele ndio kabisa unadata mpaka nahisi umekosa confidence mbele ya public. Sasa wewe usiviwaze na fanya mambo yako as if nothing is happening.

5. Kama una demu mwambie awe anakuchezea hayo maeneo.

Na log off.
 
HAKUNAMATATA

HAKUNAMATATA

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2017
Messages
735
Points
1,000
HAKUNAMATATA

HAKUNAMATATA

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2017
735 1,000
Pole sana mkuu
Niliwahi kua na tatizo kama lako na nikatumia dawa zaidi ya 40 (za viwandani, mtaani, matunda n.k) lakini sikupona, zilikua zinanisadia kwa muda lakini bdae hali inaendelea…

Ushauri:
Niliacha kunyoa ndevu zote, nikawa nazipunguza tu na tatizo likaisha kabsa
Naomba msaada wenu wana jf na wataalamm,ni dawa gani naweze kutumia kutibu huu upele wngu ulioharibu mwonekano wa ngozi yngu, pls naomba kusaidiwa nimenunua xana dawa za pharmancy lkn wapi ndo ttzo linazid kuwa kubwa kbxa maybe nakosea dawa sahihi hvyo nimeandka uzi huu kwa wataalam na wakubwa zngu mnisaidie kijana wenu nimeteseka sana,mtaani nimetungiwa jina jipya la "manundu"aka "makokoto"View attachment 1181361
 
stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Messages
8,371
Points
2,000
stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2012
8,371 2,000
Kingine kwenye hivyo vipele kuna nywele ndani yake imeota,jaribu kuvitumbua utakuta nywele na vitakauka.
Kitu anachopaswa kujua ni kuwa ukiamua kuwa mnyoaji ndevu,uwe unanyoa kila siku na hili wengine kwao ni ngumu,ndevu kama alivyosema Prince Kesh Jr hapo juu,ukiruka siku moja na kama hizo sehemu ulizonyoa ulijikata ile ndevu ikianza kuchomoza hua inafunikwa na jeraha linalopona,na kinachotokea ni kipele,ambacho ili kiachie inabidi utumbue kwa kitu chenye ncha kali ili kuruhusu ile ndevu itokeze.Sasa ili uwe salama,unapomaliza kunyoa paka aftershave kama vile Oldspice au Denim,achana na aftershave za elfu au elfu2 hazifanyi kazi vizuri,na hiyo iwe ni kila siku iwe ni jioni au asubuhi hutapata vipele....
 
Bujoro

Bujoro

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Messages
3,024
Points
2,000
Bujoro

Bujoro

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2018
3,024 2,000
Muna kadawa ka kipuuzi mi natumia kananisaidia sna na kila nilie mwambia alipotumia alinishukru sana maana mapele hayo yanatesa sana yaani dawa yenyewe inauzwa 1500 au 2000 tu kwenye maduka ya vipodoz au pharmacy hata duka la dawa nika tube kablue kanaitwa epiderm kana picha ya manzi mkali.. Unapaka baada ya kunyoa jioni, usiku au asubuhi ila sio mchana.
1565805009075-jpeg.1181440
 
BLUE DOG

BLUE DOG

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2016
Messages
336
Points
500
BLUE DOG

BLUE DOG

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2016
336 500
Tatiza ni kuwa sisi tuko wengine tuna nywele ngumu sasa ukinyoa kwa kukwangua zote huwa ngozi kama inavimba kwa ile distance ya mkwaruzo wakati wa kunyoa
Sasa hii inasababisha yale mashina ya nywele zilizokatwa kuwa chini ya ngozi na kuanza kutoboa njia nyingine wakati wa kuota
Hii hupelekea kupatwa na vipele ambavyo vinasababishwa na michomo ya zile mashina zinazotaka kuota lakini zinatoboa njia nyingine
Dawa nikunyoa lakini tumia mashina ambayo hutakwaruza lazima hakikisha unaziacha kama vile zinaota na usikwangue hadi chini sana manake ngozi inavimba na yale mashina yanapoteza uelekeo wa ile ya zamani na yanatoboa njia nyingine
Hili tatizo huwa haliwapati kabisa wale wenye nywele laini kama wahindi waarabu na wengine kama hao
Hiyo ndo dawa na wengine tukinyoa kile kipara cheupe cha wembe lazima vipele vitokee na tatizo ndo hilo
Au fuga ndevu kama vijana wa sikuhizi naona kila mtu kaacha ndevu
 
G

Guy Isaac

Member
Joined
Aug 10, 2019
Messages
28
Points
45
G

Guy Isaac

Member
Joined Aug 10, 2019
28 45
Unaweza kuwa unyoa kwa Shaving Magic alau Mara moja kwa wiki. Hii kitu imewasaidia baadhi ys watu ninao wafahamu na Mimi nikiwa ni mmojawapo.

Ahsante
Sasa c nitatonesha vdonda ambavyo bdo havijakauka na kupelekea either skin cancer mkuu, Au ww unalionaje hilo
 
G

Guy Isaac

Member
Joined
Aug 10, 2019
Messages
28
Points
45
G

Guy Isaac

Member
Joined Aug 10, 2019
28 45
Wewe ndio kwanza umeota ndevu na ulichojichanganya ulianza kuzinyoa kwa hizi nyembe za kawaida.

Sasa fanya yafuatayo and thank me later:

1. Punguza kunyoa mara kwa mara. Nyoa at most 2x kwa mwezi, if possible 1x only.

2. Acha kunyoa kwa nyembe za kawaida, kanyoe saloon. HATA KAMA UNA MSHINE YA UMEME KWAKO DONT USE IT, NENDA KANYOE SALOON.

3. Usitumie dawa yoyote kwani utazid kuongeza tatizo.

4. Acha kuviwaza hivo vipele. Najua zinakutesa sana kisaikolojia hizo ndevu, ukichanganya na hayo mapele ndio kabisa unadata mpaka nahisi umekosa confidence mbele ya public. Sasa wewe usiviwaze na fanya mambo yako as if nothing is happening.

5. Kama una demu mwambie awe anakuchezea hayo maeneo.

Na log off.
Ahsante Sana mkuu kwa ushauri wko mzur ila cna demu wote wananikimbia kwa vdonda hivi vilivyokosa matibabu
 
G

Guy Isaac

Member
Joined
Aug 10, 2019
Messages
28
Points
45
G

Guy Isaac

Member
Joined Aug 10, 2019
28 45
Pole sana mkuu
Niliwahi kua na tatizo kama lako na nikatumia dawa zaidi ya 40 (za viwandani, mtaani, matunda n.k) lakini sikupona, zilikua zinanisadia kwa muda lakini bdae hali inaendelea…

Ushauri:
Niliacha kunyoa ndevu zote, nikawa nazipunguza tu na tatizo likaisha kabsa
Nashkuru sana kwa ushauri itabid nijikaze kidume coz zikichomoza tu huwa zinawasha sana mpka nakosa aman
 
G

Guy Isaac

Member
Joined
Aug 10, 2019
Messages
28
Points
45
G

Guy Isaac

Member
Joined Aug 10, 2019
28 45
Muna kadawa ka kipuuzi mi natumia kananisaidia sna na kila nilie mwambia alipotumia alinishukru sana maana mapele hayo yanatesa sana yaani dawa yenyewe inauzwa 1500 au 2000 tu kwenye maduka ya vipodoz au pharmacy hata duka la dawa nika tube kablue kanaitwa epiderm kana picha ya manzi mkali.. Unapaka baada ya kunyoa jioni, usiku au asubuhi ila sio mchana. View attachment 1181440
I think tube zote nimezitumia lkn zimedunda
 
radicals

radicals

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Messages
3,413
Points
2,000
radicals

radicals

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2016
3,413 2,000
Badilisha style, tumia wembe na old spices after shave. Ndivyo ilimsaidia mtu wangu
mh, nyembe mkuu ndio atatoka mapele makubwa makubwa, hapo namshauri asinyoe kwa muda kama miezi miwili aache kidevu kipumzike, na akija kunyoa anyoe uelekeo wa ndevu asinyoe viceversa, halafu pia asikwangue ndevu zote/kipara
 
GODZILLA

GODZILLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2014
Messages
2,436
Points
2,000
GODZILLA

GODZILLA

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2014
2,436 2,000
Nyoa kwa mkasi mzee baba ni njia salama kuliko zote!

Acha kutumia viwembe hivyo utafanya ngozi ya uso iwe kama gamba la chura!

Acha kabisa viwembe na mashine za saluni!

Tumia mkasi safi na unyoe kwa juu juu tu!

Utakuwa smart!
 
B

Baraka el-san

New Member
Joined
Jul 14, 2019
Messages
4
Points
45
B

Baraka el-san

New Member
Joined Jul 14, 2019
4 45
Naomba msaada wenu wana jf na wataalamm,ni dawa gani naweze kutumia kutibu huu upele wngu ulioharibu mwonekano wa ngozi yngu, pls naomba kusaidiwa nimenunua xana dawa za pharmancy lkn wapi ndo ttzo linazid kuwa kubwa kbxa maybe nakosea dawa sahihi hvyo nimeandka uzi huu kwa wataalam na wakubwa zngu mnisaidie kijana wenu nimeteseka sana,mtaani nimetungiwa jina jipya la "manundu"aka "makokoto"View attachment 1181361
Pole sana Mkuu! ili kukausha na kuondoa hayo mapele haraka chukua Maji ( vikombe 3) weka Chumvi ( vijiko 3 vya chakula)), chemsha , ya kichemka chukua kitaulo anza kujikanda kuzunguka eneo lote la kidevu na mashavu.
fanya hivyo kwa siku 3-5 asubuhi na usiku, pia fanya hivyo kila baada ya kunyoa. Hapo tatizo kwisha. Utaleta mrejesho
 
G

Guy Isaac

Member
Joined
Aug 10, 2019
Messages
28
Points
45
G

Guy Isaac

Member
Joined Aug 10, 2019
28 45
Pole sana Mkuu! ili kukausha na kuondoa hayo mapele haraka chukua Maji ( vikombe 3) weka Chumvi ( vijiko 3 vya chakula)), chemsha , ya kichemka chukua kitaulo anza kujikanda kuzunguka eneo lote la kidevu na mashavu.
fanya hivyo kwa siku 3-5 asubuhi na usiku, pia fanya hivyo kila baada ya kunyoa. Hapo tatizo kwisha. Utaleta mrejesho
Ahsante, hyo tiba ngoja nianze Léo mzee baba
 
Mwangi Telvin

Mwangi Telvin

Member
Joined
Jul 6, 2019
Messages
7
Points
45
Mwangi Telvin

Mwangi Telvin

Member
Joined Jul 6, 2019
7 45
Pole sana ndugu, ni infection ya bacteria hiyo ambayo mara nyingi ndani ya damu kupitia kweny tissue zilizoziba na matundu yanayoshindwa kupumua vizuri, ndio inakuletea vipele hivyo,
kwa ushauri zaidi kufika ofisini na matibabu
0784969283
0658925814
 
Forum statistics

Threads 1,325,442
Members 509,127
Posts 32,192,662
Top