Msaada wa chuo cha clinical ofisa kizuri cha binafsi

Nenda kampala international university utafurahi sana,, usidanganywe na wanaupepo,, ukiwa chin ya university kuna rahaaa yake mfano hai nilikuta walimu wanaofundisha vyuo vikubwa vya afya hapa nchin wakifundisha hapo chuon ,, ukienda college utafundishwa na ASSTANCE MEDICAL OFFICER AU 1st medical degree matatzo yake utayajua siku ukikutana na specialist wa vitengo,, nakuomba sana nenda kampala utaenjoy siku unaenda bachelor third year,, kila kitu utakuwa unajikumbushia tuuuu,,,,, serikalin vyuo vya afya shida tupuuu
 
KARIBU KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY - DAR ES SALAAM.. TUPO GONGOLAMBOTO.

Chuo bora na kinachotoa elimu bora kwa gharama nafuu zaidi.

KOZI YA CLINICAL OFFICER ipo kuanzia ngazi ya cheti... halikadhalika Pharmacy, na maabara zinatolewa chuoni hapo... kwa maelezo zaid tembelea tovuti yetu (www.kiu.ac.tz) au piga Sinu namba 0719568659...

Nyote mnakaribishwa.
Kampala International University
"exploring the heights"
 
Nursing utakuwa mtumwa siku zote,, kafanye co ukimaliza ntafute nikupe mchongo kuhusu bachelor nzuri ambayo unakula pesa chin ya kiyoyoz,, sio kule danger room

Nimemshauri mtu kulingana na uono wangu,na sijawahi kuwa katika kada ya afya.
 
Kama upo vizuri kiuchumi, nenda MACHAME SCHOOL OF CLINICAL OFFICERS.
Mkuu naomba more info kuhusu hichi chuo nimecheck web yake ila ipo shallow sana if you dont mind 0742789070

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Mwaka jana walichukua cut off ya point 17 ambayo ni div 1- kwa Lugalo na Kibaha , kilosa. Mimi nina div 2 pt 20.( ni mwaka jana) unanishaurje . Nawaza nursing labda itakubali ingawa nilitaka clinical ofisa
Si kweli ndugu mwaka Jana Dogo kuchaguliwa ana point 21 kibaha pale clinical medicine
 
Si kweli ndugu mwaka Jana Dogo kuchaguliwa ana point 21 kibaha pale clinical medicine
Sidhani, usipochaguliwa walikuwa wanakupa sababu kwa nini hukuchaguliwa. Nitapiga picha nikuwekee hapa uone. Mimi nilikuwa na pointi 20 div 2 sikuchaguliwa. Labda ulifanya maarifa??? Weka pass zake nione maana umenistua.
 
Sidhani, usipochaguliwa walikuwa wanakupa sababu kwa nini hukuchaguliwa. Nitapiga picha nikuwekee hapa uone. Mimi nilikuwa na pointi 20 div 2 sikuchaguliwa. Labda ulifanya maarifa??? Weka pass zake nione maana umenistua.
Sorry inawezekana kwa maana alikuwa na kigezo cha zaidi form6 Ila form four alipata Chemistry B+ biology B+ physics B
 
Back
Top Bottom